DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Mnasema wabumge wakristo ni 75% je tz ina wakristo wangapi na waislam wangap? Je anaye teuwa wakuu wa mikoa na wiraya .nimkristo? Achen wivu wakipumbavu nenden skule.
Mnasema wabumge wakristo ni 75% je tz ina wakristo wangapi na waislam wangap? Je anaye teuwa wakuu wa mikoa na wiraya .nimkristo? Achen wivu wakipumbavu nenden skule.
Sasa hapo MoU inaingia vipi? we ni mtu wa ajabu sana na UNA CHUKI KUU. sasa si asavali tu usiwe na dini? maana hiyo dini inakufanya uwe chuki ya namna hii nadhani haikusaidii lolote hiyo dini.Rafiki yangu mkirstu anamilki shule ya msingi english medium.Alinisahawishi nikampeleka mwanangu shuleni kwake.Kila akija nyumbani ankuja anaiba nyimbo za kanisa huku akilalamika kuwa wanalazimishwa kusali kikrsitu kabala ya kuingia darasani na wakati wa kula.
Nikamuona mwenye shula nikamuuliza kama wanavipindi vya dini shuleni akanmbia kuwa wanavyo lakini kwa waislam hawana mwalimu ila akanambia kuwa ni ruhusa kuleta mwalimu wa dini ya kiislam lakini sharti afundishe kwa kiingereza hata maandishi yote yawe kwa kiingereza.Nikamwambia sisi huwa tunaswali kwa kiarabu sasa mwalimu ataandikaje maandishi ya kiarabu kwa kiingereza? akasema hilo ndo sharti lao kwani ni lazima mwalimu yote anayofundisha uongozi uyajue. nikamuuliza mbona hii shule ni ya binafsi lakini mna mashrti ya kidini? Akasema wao wanasaidiwa na kanisa.Ndo nikagundu kumbe MOU inafanya kazi zake hata kwa watu binafsi kupita kanisani.
Kwa vile shule ni nyingi mwaka ulipoisha mwanangu sikumpeleka tena pale.Ingekuwa ni enzi za Nyerere amabpo shule zilikuwa ni za kanisa tu na serikali basi hapo ningekwama.
lol, yaani PC ninunue mimi kwa hela yangu credit iende kwa Mkwere ..lol..u-bigotry wako umefikia kilele na kuwa upumbavu.Si ndio maana hamumtaki kila siku humu jf mmeshupalia nchi imemshinda nchi imemshinda wakt huo mnashindwa kuelewa mko nyuma ya key boards amabazo hazikuwepo wakati wa utawala wa Nyerere.Haya ni maendeleo lakini hamyaoni.
Hakuna anayesema kuwa anaonewa kinachozungumzwa ni kuitaka serikali icuhukue wajibu wake badala ya kuukasimu kwa makanisa.Naona wewe umedandia mada
Unaonaje mkisteji tamko jingine.??.i am dying for another episode of this comedy.Ni haki ya waislamu kutumia uhuru wao wa kujieleza na kueleza kinachowasibu mimi nawapongeza na kuwaunga mkono.
Hapo nimekuelewa.Kumbe ukikutana mbwa anabweka njiani nawewe unaanza kubweka? Will the passersby know the difference btn u n the dog?
Nilikwambia hilo jina ni la kiarabu lenye maan ya mja wa Mungu.Sasa wewe hutaki kuwa mja wa yesu amabe ndie mungu wako?
Masheikh wametoa hoja za msingi sana nimepitia thread zote za majibu nimeona mtu mmoja tu ndie amejitahidi kujibu japo majibu yake sio sahihi.Lakini wengine mnaishia kusema tu eti ni utumbo.Hivi wewe mtu akikuita mbwa wakati ni binadamu utakuwa mbwa kweli? Hata ukisema tamko ni utumbo wakati ni poit usemi wako utabaki ndio utumbo wenyewe
Na hii inahusiana vipi na hii thread?For sure Jesus is coming soon... hebu nikatubu mie nisije achwa yarabi.
Sasa hapa tunaandika nini?
1. Raisi Jakaya Kikwete - Amiri Jeshi Mkuu, Muislamu
2.Waziri wa Ulinzi , Hussein Mwinyi , Mwislamu tena hana hata naibu....
3.Waziri wa Polisi, uhamiaji na Magereza , Shamsi Vuai Nahodha, Muislamu, tena wa Zanzibar ( kumbuka , Hussein Mwinyi pia ni Mzanzibar)
4.Waziri wa Fedha , Mustapha Mkulo
5.Elimu ya Juu , Shukuru Kawmbwa
6.Mawasiliano , Omar Nundu
Hizi ndizo wizara nyeti ambazo hata kukgekuwa na serikali ya mseto pangechimbika ili kuwe na uwiano.
Sasa hizi zote zinaongozwa na Waislamu, huu upuuzi wa kuonewa unatoka wapi?
Duh!
Sambaza hili tamko ili wengi waone na kupima. Lipia kwenye magazeti lichapishwe, na litangazwe kwenye TV na Redio!
More still to come.........!
safi sana waislam ila tatizo tamko lenu halina solution ya matatizo inaonekana mlitaka kututisha tu. Nashauri mje na tamko linalosema kwa mfano nchi igawanywe kutoka sehemu fulani hadi sehemu fulani. Kwa tamko mlilotoa inaonekani ni daganya toto tu! Na kama hili ndilo tamko lililotolewa na wanazuoni wa kiislam basi mnayo khasara kubwa kwani lime-expose udhaifu wenu kwa kiwango cha juu!
Hilo Tamko cha mtoto nina CD inaonyesha kila kitu kilichojiri hata Mkristo anaemuogopa Mungu ataona bila tochi uonevu unaofanywa na Serikali juu ya Waislam. Mtoa hotuba kuna point moja anasema Walipouwawa watu mwembechai Maaskofu walikaa kimya! Waislam wakaomba inkwest wakakataliwa. Akaomwa spika Msekwa akasema bunge halina pesa ya kufanya inquest lakini mwaka huo huo Serikali kupitia Jaji Mkuu Francis Nyalali aliunda tume kuchunguza mauaji ya mbwa alieuliwa na immigration!
hiyo ni part ndogo sana ukisikiliza yote unaweza ukazimia waislam wamekaa kimya lakini wanamengi sana vifuani mwao.
Hilo Tamko cha mtoto nina CD inaonyesha kila kitu kilichojiri hata Mkristo anaemuogopa Mungu ataona bila tochi uonevu unaofanywa na Serikali juu ya Waislam. Mtoa hotuba kuna point moja anasema Walipouwawa watu mwembechai Maaskofu walikaa kimya! Waislam wakaomba inkwest wakakataliwa. Akaomwa spika Msekwa akasema bunge halina pesa ya kufanya inquest lakini mwaka huo huo Serikali kupitia Jaji Mkuu Francis Nyalali aliunda tume kuchunguza mauaji ya mbwa alieuliwa na immigration!
hiyo ni part ndogo sana ukisikiliza yote unaweza ukazimia waislam wamekaa kimya lakini wanamengi sana vifuani mwao.
ulionaje lakini maendeleo ya kitaaluma ya mwanao kipindi yupo kwenye hiyo shule? Baada ya kumuhamisha umempeleka english medium ya kiislamu?
stations nyingi ni zenu, tutatumia njia zingine ili kila muislamu afahamu historia na kinachoendlea tangu enzi hizo..ok
acha emotions jadili hoja, hoja ipi si kweli?
Toka nji hii ipate uhuru, hebu nirodhesheeni vitu vyoote vya maendeleo tunaweza wahesabia waislam. Tuanze na shule, anzia chekechea hadi chuo kikuu, mahospitali, dispensary hadi referral, mashamba, anzia bustani hadi estate... kwa ufupi ni hakuna. Ili waislam msipate pressure sana, hamtakiwi kuwa na wivu kwani wakati watoto wa wakristo wakienda shule, watoto wa kiislam wanaenda madrasa, nadhani matokeo yake nayaona katika tofauti za viwango vya elim kati ya waislam na wakristo. Waraka wenyewe unaonesha wazi kuwa hawa wanaojiita wanazuoni inaonekana hawajaenda shule, yaani ni ya kitoto mno hayawezi kumkosesha mtu usingizi. Nyie endeleeni hata mkitaka kuweka mabango makubwa mktangaza waraka huu, lakini mjuwe wakristo wana amani tele mioyoni mwao na hawahofii watu mbumbumbu. Walioandika waraka huu, nawashauri wangetmia muda huu kwenda kula nguruwe japo kwa kujificha kama kawaida, kuliko kuandika uharo kama huu. Kazi kwenu
Kwahiyo sababu maaskofu hawakusema kitu ndio waislamu mnaonewa..?, Je serikali hii inaonea wananchi au waislamu, mbona dini zote wanalalamika maisha magumu?, Je hakuna musilamu aliyekufa arusha? Je ni mangapi watu wamenyimwa hawajasema dini? kwahiyo hata watu wakinyimwa kibali cha kuandamana waseme ni sababu ya udini?, Na Msekwa kusema kwamba bunge halina pesa ni sababu ya dini?... Hebu acheni kuunganisha vitu ambavyo havipo.... Ukitaka hapa naweza nikakuandalia page 200 kwamba mimi naonewa sababu ya dini yangu fulani.... acheni kufanya connection amabazo hazipo...Hilo Tamko cha mtoto nina CD inaonyesha kila kitu kilichojiri hata Mkristo anaemuogopa Mungu ataona bila tochi uonevu unaofanywa na Serikali juu ya Waislam. Mtoa hotuba kuna point moja anasema Walipouwawa watu mwembechai Maaskofu walikaa kimya! Waislam wakaomba inkwest wakakataliwa. Akaomwa spika Msekwa akasema bunge halina pesa ya kufanya inquest lakini mwaka huo huo Serikali kupitia Jaji Mkuu Francis Nyalali aliunda tume kuchunguza mauaji ya mbwa alieuliwa na immigration.