Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

Tume ya ushindani ipo lakini pia makampuni makubwa huwa ni kama cartels.. Huwa wanatengeneza mazingra ili kampuni mpya zisiingie kwenye soko lao ili walinde faida zao

Kuna makampuni ya juice na maji huwa yanayeyuka tu kwa sababu hizohizo
hii ipo kwny kila bussiness hapa bongo. hata wanaouza mahnd kenya wana hyo tabia. kama ww sio mmoja wao au ni mgeni kwny hyo biashara basi wao wanakuchongea kwamba mahnd yako yana sumukuvu. ukifika mpakan yanazuiliwa
 
Matokeo unayajua lakini?
Kule china wako bilion moja na milioni mia nne
Wakipata uchochoro rahisi tu hapa
Na mambo yakiwa hivyo unavyotaka wewe
Tutaanza kuwa watumwa kwenye nchi yetu
Uchumi wote watakuwa nao wao biashara zote kubwa zitakuwa za wachina sisi tutakuwa wachuuzi watumwa tunawafanyia wao kazi
sio tutaanza kuwa watumwa. Yaan mpaka sasa tushakua watumwa ndo mana kwenye viwanda vyao wanamlipa kibarua elfu 4 per day. hapo ukiwa na profession mfano driver, ndo walau unalipwa laki 3,4. sasa kuna nn hapo??
 
Kumbe wachawi ni nyie wenyewe
Acheni tamaa za hela ya mbuzi
Siku moja mtauza nchi
Screenshot_20250320_173704_Instagram~2.png
 
Kama wameamua kuuza sisi tujikite kuzalisha wanunue kwetu maana hakuna namna 😀😀, balaa wachina wakianza kuzalisha wenyewe 😂😂
 
Mods kwanini mmebadili title ya thread bila ridhaa yangu, hivi unapoandika "biashara za wachina" kwani hapo kwenye picha wako wachina au yupo mchina mmoja? Naomba muwe mnashauriana na mtoa mada kabla ya kubadili post yake, hiyo italeta kupendana, kuheshimiana, kushirikiana na kufurahiana, ila kubadili post ya mtu bila ridhaa yake ni dharau sana na ni mbaya kabisa.
View attachment 3277054
Wamekusikia au nichukue hatua?
 
hii ipo kwny kila bussiness hapa bongo. hata wanaouza mahnd kenya wana hyo tabia. kama ww sio mmoja wao au ni mgeni kwny hyo biashara basi wao wanakuchongea kwamba mahnd yako yana sumukuvu. ukifika mpakan yanazuiliwa
Kabisa... Biashara zina mambo mengi hata kariakoo tu kuna cartels
 
Undugu huwa ni marination ya kunyonywa kiuchumi. Kiufupi bongo ndio tunaendekeza undugu ila wengi wanaangalia future na uwezo wao wa kiuchumi
Kweli hakuna undugu wa kusaidiana
Ila angekuwa na bei ya kulingana kidogo naona wangempa tafu ndugu

Au hawasogei pia
 
Kweli hakuna undugu wa kusaidiana
Ila angekuwa na bei ya kulingana kidogo naona wangempa tafu ndugu

Au hawasogei pia
Hao wanajali biashara tu mkuu... Hawajali kuhusu kingine chochote, iwe demokrasia au ustawi wa watu

Nadhani wengi waliofanya kazi na wachina huwa hawana story nzuri.. Pengine wanakihofia kitu wanachokijua

Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom