biashara ya mayai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mayai: Unaweza kuanza na mtaji mdogo, lakini unajua faida yake?

    Biashara ya mayai ni mojawapo ya fursa za kujipatia kipato nchini Tanzania. Hata hivyo, mafanikio yake yanategemea uelewa wa soko, usimamizi wa fedha na uwezo wa kudhibiti gharama. MFANO WA MTaji NA FAIDA Tuchukulie unanunua trei 10 za mayai: 🥚 Bei ya trei moja: TZS 9,000 🥚 Trei 10: TZS 90,000...
  2. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watoto chini ya 14 yrs kufanya biashara ya mayai Kigoma Mjini

    Nina imani sote humu tuko njema. Niende direct, kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wenye umri kati ya 7-14 wamezagaa sana mitaani mkoani Kigoma hasa Kigoma Mjini Hii nadhani ni tatizo kubwa linahitaji dawa, vijana hawa umri wao ni wa kuwa shuleni lakini muda wote wapo mitaani, stand za...
  3. Faana

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

  4. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mayai inalipa sana

    Wakuu nataka niache aibu nianze kuuza moyai mjini. Trei 1 ni 6500. Nikiyachemsha na kuyauza kila trey napata 15000, tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne, nitakuwa na faida ya Tsh 34000 na hio ni siku moja. Nikiuza mwezi mzima nitakuwa na tsh 34000 ×30 =1020000 hapo nikitoa...
Back
Top Bottom