Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
42,766
Reaction score
50,859
1742450934075.png
 
Wabongo tunaweka bei zisizo halisi. Siku hizi hoteli haina hadi soda bei Tsh 5,000, bia Tsh 10,000 ?

Wachina waje tu , waondoe walanguzi weusi.
Tulikuwa na Fast Jet- Nauli Dar-Arusha 75,000 wazalendo wakaziua na kuleta ndege ya wazalendo nauli ya Dar-Arusha sasa ni 400,000/= tena unafanya booking wanakuringia.

Soko huru, kila mtu achague pa kula.
 
Kwani na nyie mmekatazwa kufanya hiyo biashara

Ova
Wachumi wanakisia kuwa, wachina huwa wana tabia ya kuua ushindani kupitia bei rahisi Ila pale wanapoliteka soko na kuwa "monopolies", huwa wanaongeza bei hata mara mbili ya bei ambayo wazawa walikuwa wanauzia mwanzoni.


Nadharia hii tuliisoma tu darasani " Jinsi ya kutengeneza monopolies"... Kuhusu wachina kama ndio njia yao. Sijajua
 
Mods kwanini mmebadili title ya thread bila ridhaa yangu, hivi unapoandika "biashara za wachina" kwani hapo kwenye picha wako wachina au yupo mchina mmoja? Naomba muwe mnashauriana na mtoa mada kabla ya kubadili post yake, hiyo italeta kupendana, kuheshimiana, kushirikiana na kufurahiana, ila kubadili post ya mtu bila ridhaa yake ni dharau sana na ni mbaya kabisa.
1742451985299.png
 
Back
Top Bottom