mkokamoto
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 1,313
- 1,671
Mods wameyatimba😲Mods kwanini mmebadili title ya thread bila ridhaa yangu, hivi unapoandika "biashara za wachina" kwani hapo kwenye picha wako wachina au yupo mchina mmoja? Naomba muwe mnashauriana na mtoa mada kabla ya kubadili post yake, hiyo italeta kupendana, kuheshimiana, kushirikiana na kufurahiana, ila kubadili post ya mtu bila ridhaa yake ni dharau sana na ni mbaya kabisa.
View attachment 3277054