mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,176
- 137,558
Pesa yenyewe hatuna 😄HAKI Gani hapo? Ktk hiyo ya mchina?
Kufanya uwekezaji wa ndani
Ova
Pesa yenyewe hatuna 😄HAKI Gani hapo? Ktk hiyo ya mchina?
Think above and beyond . Ishu sio kufanya biashara ishu ni security ya mfanya biashara wa kitanzania. Ambapo ajira nyingi ndio ziko hapo, wageni wote wakichukua biashara ya mtanzania unatengeneza bomu?Kwani na nyie mmekatazwa kufanya hiyo biashara
Ova
Wako wabongo baadhi nje nchi jirani wamewekeza na wako njema tuKwa mtaji upi? Mbongo yeye nae atafute NCHI wakavae ki furs, Burundi,DRC huko waende wabongo
Unakuta lijitu linalalamika ohh mchina sijui ataimaliza mikocheni obay masaki ,aende yeye basi akaingie JV na mbongo mwenzake 😄 hiyo pesa yenyewe hanaaaUjue mtanzania kaisha vurugwa hajui ashike lipi aache lipi
Matokeo unayajua lakini?Wabongo tunaweka bei zisizo halisi. Siku hizi hoteli haina hadi soda 5,000, bia 10,000 ?
Wachina waje tu , waondoe walanguzi weusi.
Tulikuwa na Fast Jet- Nauli Dar-Arusha 75,000 wazalendo wakaziua na kuleta ndege ya wazalendo nauli ya Dar-Arusha sasa ni 400,000/= .
Soko huru, kila mtu achague pa kula.
Unasikitisha sana ama unaishi masaki kwenye nyumba ya serikali mliyouziwana mkapa kwa milioni mbili mwaka 2004.Matokeo unayajua lakini?
Kule china wako bilion moja na milioni mia nne
Wakipata uchochoro rahisi tu hapa
Na mambo yakiwa hivyo unavyotaka wewe
Tutaanza kuwa watumwa kwenye nchi yetu
Uchumi wote watakuwa nao wao biashara zote kubwa zitakuwa za wachina sisi tutakuwa wachuuzi watumwa tunawafanyia wao kazi
Ngoja tuongeze nguvu kulalamika 😁 ...Wachina wameona fursa zote Tanzania na watapita nazo , mtalalamika sana
Hayo mayai utakuta ni artificial, hayajatagwa na kuku.., waChina sio wa kuamini
Unajua kitakachotokea ?Kwani na nyie mmekatazwa kufanya hiyo biashara
Ova
Hapa Wezi watashangaa Mchina anayatoa wapi mayai?Kwani na nyie mmekatazwa kufanya hiyo biashara
Ova
Mtu mweusi anatamaa sana ya FaidaWabongo tunaweka bei zisizo halisi. Siku hizi hoteli haina hadi soda 5,000, bia 10,000 ?
Wachina waje tu , waondoe walanguzi weusi.
Tulikuwa na Fast Jet- Nauli Dar-Arusha 75,000 wazalendo wakaziua na kuleta ndege ya wazalendo nauli ya Dar-Arusha sasa ni 400,000/= .
Soko huru, kila mtu achague pa kula.
Mswahili anapenda afanye kazi kidogo Mapato Makubwa😅😅😅Tulikuwa na Fast Jet- Nauli Dar-Arusha 75,000 wazalendo wakaziua na kuleta ndege ya wazalendo nauli ya Dar-Arusha sasa ni 400,000/= .
Acha utopolo wako we bwegeWananchi wao wanataka mayai na mchina anauza mayai ya kila mdudu, bundi, kenge, mamba, kuku, kanga, n.k ili mradi tu watu wapate kula mayai. Tusubiri vifo tu.
hicho ndicho kitakachotokea baadae baada kukamata SOKO automatic mfano wa mayai yataanza kuwa adimuWachumi wanakisia kuwa, wachina huwa wana tabia ya kuua ushindani kupitia bei rahisi Ila pale wanapoliteka soko na kuwa "monopolies", huwa wanaongeza bei hata mara mbili ya bei ambayo wazawa walikuwa wanauzia mwanzoni.
Nadharia hii tuliisoma tu darasani " Jinsi ya kutengeneza monopolies"... Kuhusu wachina kama ndio njia yao. Sijajua
Kwani sisi ndio tumewaleta?ukisoma comment za watanzania wengi utagundua uwezo wao wa kufikilia ni mdogo 7bu kubwa wanauziwa nafuu
huwa hawawazi future Wengi huwaza hapa wakati huu
ndio mana mwisho wa siku tunaanza kutafutana uchawi
hicho wanachokifanya wachina ni hatarikwa kwa wafabiashara kwa sasa hivi lakni hata kwawalaji ni shida hapo baadae