Masoud Kipanya ameamka na biashara za wachina

Wachumi wanakisia kuwa, wachina huwa wana tabia ya kuua ushindani kupitia bei rahisi Ila pale wanapoliteka soko na kuwa "monopolies", huwa wanaongeza bei hata mara mbili ya bei ambayo wazawa walikuwa wanauzia mwanzoni.

Nadharia hii tuliisoma tu darasani " Jinsi ya kutengeneza monopolies"... Kuhusu wachina kama ndio njia yao. Sijajua
Sasa mayai akipandisha bei mara 2, wewe si unarudi kuuza kwa bei yako ya zamani au kuna ugumu hapo?
 
Kwani na nyie mmekatazwa kufanya hiyo biashara

Ova
Hata mimi hili suala linanishangaza. Niliuliza kuna shida gani mchina akifungua Car wash mikocheni nikajibiwa kuwa kwanini asifungue kwao, nikauliza kama hata asipofungua hiyo car wash Mikocheni ndio itaondoa uhalisia kuwa wewe bado huna uwezo wa kufungua hiyo car wash mikocheni, mdau akatokomea
 
Ujue mtanzania kaisha vurugwa hajui ashike lipi aache lipi
 
Sasa mayai akipandisha bei mara 2, wewe si unarudi kuuza kwa bei yako ya zamani au kuna ugumu hapo?

Mkuu unachokiongelea ni sawa Ila kawaida ya monopolies huwa wanacontrol bei ya bidhaa maana mtu akishakaa juu zinaanza "politics" au unadhani kwa nini vifurushi vya simu havitofautiani sana baina ya makampuni..

kwa nini starlink haijaruhusiwa??....

politics tu mkuu
 
Ujue mtanzania kaisha vurugwa hajui ashike lipi aache lipi
😁😁😁
Unajua hii nchi imeshikwa na wahindi na waarabu ambao wapo vizazi na vizazi. Na wanafuatia wazungu na races zingine halafu weusi ndio tunafuatia

Uzuri wa hizo races zingine zimejiweka high class kwa hiyo watu hawatishwi nazo sana maana fursa baadhi hawahangaiki nazo. Mchina ni kokoro, chochote anapita nacho
 
Mchicha ni mmachinga mwenye mtaji , ama uungane nae au ushindane nae, na hapo bado pale ubungo East Africa logistics ihaijafunguliwa rasmi
 
Wachumi wanakisia kuwa, wachina huwa wana tabia ya kuua ushindani kupitia bei rahisi Ila pale wanapoliteka soko na kuwa "monopolies", huwa wanaongeza bei hata mara mbili ya bei ambayo wazawa walikuwa wanauzia mwanzoni.

Nadharia hii tuliisoma tu darasani " Jinsi ya kutengeneza monopolies"... Kuhusu wachina kama ndio njia yao. Sijajua
FCC wapo kwa ajili ya kuzuia vitu kama hivyo.
 
Mchicha ni mmachinga mwenye mtaji , ama uungane nae au ushindane nae, na hapo bado pale ubungo East Africa logistics ihaijafunguliwa rasmi
Nahisi nchi yao ishaona miaka ijayo hali itakuwa ngumu kwenye population ndio maana wanatemgeneza back up plan..

Na kuhusu East Africa Logistics ikifunguliwa kariakoo ijiandae asee.
 
Wachina wameona fursa zote Tanzania na watapita nazo , mtalalamika sana
 
Huo ndio ujasusi unaotakiwa.

Usalama wa Taifa wa China wamefanya utafiti na wakaona fursa zilizopo Tanzania na nchi nyinginezo, wakatoa mrejesho nchini kwao na viongozi wakapembua na kuona ni sawa.

Nchi ikaona itumie fursa hizo zilizopatikana. Ikawawezesha wananchi wake na ndio hao wameanza kutiririka na ndio sasa unaona milio hii imeanza kutoka.😄😄

Kuna mtu aliweka andiko humu kuwa kwa kuwa ajira hakuna hapa nchini basi serikali isiweke ugumu kwa vijana kupata passport waende kujaribu maisha kwingine. Sasa ofisi ya Usalama wa Taifa yetu ndio ilitakiwa kufanya tafiti za hivyo, iwaelekeze viongozi kuruhusu vijana wakajaribu maisha nje na kuingilia kati pale wanapoonewa. Lakini sasa angalia hapo Uarabuni kina dada wanabakwa na Serikali imekaa kimya tu inqchofanya ni kuwakataza watu wasiende nje wabaki kutumia fursa za ndani😄😄.

Hao wachina hapa jaribu kuwagusa uone China kama itakaa kimya.
 
Hata mimi hili suala linanishangaza. Niliuliza kuna shida gani mchina akifungua Car wash mikocheni nikajibiwa kuwa kwanini asifungue kwao, nikauliza kama hata asipofungua hiyo car wash Mikocheni ndio itaondoa uhalisia kuwa wewe bado huna uwezo wa kufungua hiyo car wash mikocheni, mdau akatokomea
Utafikiri wao wamekatazwa kufungua car wash
Wakati nafasi ziko wazi...
Ttz wao wamekalia kukata uno,,uchawa kitu ambacho ni tuko vzr sahv

Ova
 
Back
Top Bottom