Hao Wana energy kubwa uchawi unadunda ingekuwa rahisi hivyo waafrika wasingetawaliwa au kuchukuliwa utumwani analogwa mtu mwenye energy ndogo.hivi Wachina hawarogeki??? si mnasemaga kuna uchawi? si muwaroge tu biashara zao zisionekane!
Dunia ni ushindani wabongo nao wauze bei ya chini zaidi.Kuandamana kisa Nini ? Wabongo bana
Na idara ya kazi iko kimya tu. Na kwa mfano kwa mshahara wa laki tatu, hapo taxable amount ni 270,000 ambayo haikatwi kodi, kwahiyo wanaikosesha serikali mapato at same time, na SDL yake ni ndogo pia.sio tutaanza kuwa watumwa. Yaan mpaka sasa tushakua watumwa ndo mana kwenye viwanda vyao wanamlipa kibarua elfu 4 per day. hapo ukiwa na profession mfano driver, ndo walau unalipwa laki 3,4. sasa kuna nn hapo??
Unauzaje bei superprofitNi og kabisa ni kama muuza karanga mkulima anaetoa shambani na ww unaenunua uuze upate faida hapo kwenye ushindani wa bei lazima ugaragazwe
Serikali imelala imebakia kumnyonya mtumishi wa umma na makodi kibaoNa idara ya kazi iko kimya tu. Na kwa mfano kwa mshahara wa laki tatu, hapo taxable amount ni 270,000 ambayo haikatwi kodi, kwahiyo wanaikosesha serikali mapato at same time, na SDL yake ni ndogo pia.
WTF!!!Serikali imelala imebakia kumnyonya mtumishi wa umma na makodi kibao
MwenyeweWTF!!!
Umeelewa tofauti mkuu.Mwenyewe
Fafanua ama sivyo naona umenitusi tuUmeelewa tofauti mkuu.
Sina haja ya kukutusi mkuu, kisa nini hasa nikutusi, nimepevuka kiakili na kimaadili, huo ulikuwa ni mshangao kwanini serikali iwakamue watumishi kwa kodi kubwa ilihali Wachina wanakwepa.Fafanua ama sivyo naona umenitusi tu
Nan hapendi superprft😄Unauzaje bei superprofit
Huwezi kuroga namba 🤣🤣hivi Wachina hawarogeki??? si mnasemaga kuna uchawi? si muwaroge tu biashara zao zisionekane!
Alafu hapo tunatafuta mwekezaji, Labda Nyerere aliacha siri inayotuhusu sote na hakuna aliyegundua wosia.ni ajabu kabisa eti biashara inakufa kisa imezidiwa na wateja.! na bado hawaoni hata aibu wapo tu hawana maono,hawajali na wala hawajui wafanye nini.!
WAchina:Wachina ni hatari kwa uchumi wa nchi yetu na wananchi yetu, Serikali iangalie hili jambo haraka sana na kuwarudisha kwao wachina ambao ni machinga, yaani wachina wanafanya biashara za kimachinga kwanini? Hao sio investor ni wahuni tu, Mh. Rais tumia vyombo vyako fukuza wachina wa hivyo haraka sana.
Tunahitaji mwekezaji atutengenezee ARV za Bongo.Alafu hapo tunatafuta mwekezaji, Labda Nyerere aliacha siri inayotuhusu sote na hakuna aliyegundua wosia.
Wageni wengine wanaofanya umachinga ni akina nani ?Kwanini nyie mtuuzie mara 2 ya bei? Alafu masudi hajamaanisha wachina bali kamaanisha wageni