Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,099
- 60,809
Si huwa mnawasaidia ndugu kiuchumi?
Yamekuwa hayo tena
Hakuna ndugunization tena?
Yamekuwa hayo tena
Hakuna ndugunization tena?
Mchina anatumalizia nguvu za kiume 😔Nadhani mchina anauza mayai bandia
Kwamba mchina aishi,, afanikiwe ila mswahili atajijua. Kama mchina amewezeshwa na serikali yake, kwanini na mbongo asisaidiweSenior: unajua kitakachotokea?
Junior: nahisi jamaa nayeye atashusha bei
Senior: janja umekosea,jamaa atamuomba SSH amfukuze huyo madha
Junior: kwa nini?
Senior:kayaulize maCCM
Ujinga tu, nWanasema anawapa hasara😀😀
HahahahaUnakuta lijitu linalalamika ohh mchina sijui ataimaliza mikocheni obay masaki ,aende yeye basi akaingie JV na mbongo mwenzake 😄 hiyo pesa yenyewe hanaaa
Ova
Niliendaga Rufiji nkanunuaga eka 1 ilikuwa 40000 kipindi,sahvi 150,000 cha nyumaMkisikia kuna mashamba ya 80k mpaka 150k, bebeni msiseme huko ndani ndani sana si mnaona mjini tunavyotoana jasho, tusijikulaumana baadae.
Si hao wa China tu waNigeria wapo mchini wakutosha na wengine wana familia kabisa na mnajua wale wana roho ya upambanaji, msijekuwaona DSTV kwenye tamthlia mkashangaa nao Bongo movies wanamind kwanini roles zilizotakiwa kuchezwa na wabongo wanapewa waNigeria. Miaka 10 ijayo lazima watakuwa na asilimia yao kwenye "Bongowood" washaona Kenya na Tanzania kwa EA kuna kitu kinaweza kuwalipa.
Either watakaa upande wa video production au watakuwa mapromoter wakubwa wanaweza kuleta A listers wao (bila kudeal nao humleti msanii kutoka Nigeria) au watakuwa na matamasha yao yatakayo kuwa yakifanyika Bongo ambayo yatafunika haya yote ya Bongo.
Tukaze wazee, hao viongozi wenu wanajua kila kitu na hawatawasaidia chochote.
sasa huyo wa 6000 anapataje faida.?Hiyo bei rafiki hawezi kuendana nayo. 11 elfu kwa elfu 6 ni parefu mno
ni ajabu kabisa eti biashara inakufa kisa imezidiwa na wateja.! na bado hawaoni hata aibu wapo tu hawana maono,hawajali na wala hawajui wafanye nini.!Biashara, unapewa barabara yako mwenyewe.
Unapewa gari zako ambazo hazisimamishwi na traffick.
Unapewa gari ambazo hazigongwi na mtu yeyote .
Unapewa kibali kutoza nauli kubwa, alafu eti unjiendesha kwa hasara na abiria wengi kuliko mabasi, WACHINA NJOONI.
Kabisa mkuuNiliendaga Rufiji nkanunuaga eka 1 ilikuwa 40000 kipindi,sahvi 150,000 cha nyuma
Sasa ukiwaunganisha watu nao waende nunua maneno mengi ohh mbali sijui bei kubwa ...ahh unaachana naooo
Wenye mtazamo wa mbali walinunua
Tena huko kuna mahali wachina walichukua maekari walikuwa na mpango wa kulima mihogo
Mbongo we mwambie twende kidimbwi au kwenye Tamasha la mondi au singeli hayo wanayaweza
Ova
Any case study please.Wachumi wanakisia kuwa, wachina huwa wana tabia ya kuua ushindani kupitia bei rahisi Ila pale wanapoliteka soko na kuwa "monopolies", huwa wanaongeza bei hata mara mbili ya bei ambayo wazawa walikuwa wanauzia mwanzoni.
Nadharia hii tuliisoma tu darasani " Jinsi ya kutengeneza monopolies"... Kuhusu wachina kama ndio njia yao. Sijajua