Mkuu hapa nazungumzia "gender" .
Ungeliweka hata nyumba, ili mtu kama anataka kushea na wewe ana retrive profile yako.
Lakini hili la mwanaume kuweka picha ya kidosho ama mwanamke kuweka picha ya handsome boy bila kujali ni ya kizungu ama race gani hamtutendei haki!
Katika uchangiaji wengi huwa tunaangalia avatar kwanza, kama ina picha ya mwanamke ama mwanaume basi akili zinaji orient huko.
Samahani mkuu sikuwaza kejeri yoyote maana sina tabia hiyo, isipokuwa nili'komenti' kwa kufuata picha na si profile.