Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

Kweli na mm nimewacheki ni mlio wa DW tu nahisi dialo na bwana Mkubwa kuna sehem hawakwenda sawa, tusubir 2020 itafufuliwa kwenye kampeni
Mda huo taarifa ya habari ya dw kuisha ni kweli walisahau kuquit surb yao ili kurudi kwenye freequnc za hapa
 
Tangu wasafi radio wapewe frequnc za karibu na rfa zile symbo olzont zinaingiliana wakati mwingine radio usipoweka area vizuri hiyo rfa huipati kabisa itashika wasafi na clouds
Mkuu mbona hao jamaa hawapatikani baadhi ya maeneo ya mikoa ya pwani?
 
Inasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
mm nilikiwa nakipenda sana kipind cha magazet sa 12 na nusu asbh na dw na bbc jion na sa saba mchana
 
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzun kwa kweli, watangazaji wanabadirishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadili station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
Ingekuwa mimi ndo mmiliki ningebadili frequency na brand kisha kuja kivingine
 
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzun kwa kweli, watangazaji wanabadirishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadili station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
Rfa moja ya redio niliyokuwa naipenda kabisa kwa vipindi vyake muruwaah.
-amka na bbc
-watanzania tuzungumze magazeti
-sitasahau
-Bolingo walikuwa wakifasiri nyimbo za kiringala, kutoka Congo.

Watangazaji wao walikuwa na sauti hasa za utangazaji isee kipindi hicho nipo primary to secondary olever..2003-2009
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom