Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

City owl

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,930
2,000
Inasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
 

The Dark Father

JF-Expert Member
Oct 9, 2017
1,074
2,000
Kuendesha kituo cha redio au television ni gharama sana.
Kwa muda mrefu tu Sahara Media wamekuwa wakiendesha kwa hasara, ndio maana madeni yamekuwa mengi, including ya serikali (TRA). Hakuna waangaliaji, hivyo wamekuwa wakipoteza wadhamini/matangazo.

Mikopo ingesaidia mno kama wangejaribu kuji-reinvent kabisa. Lakini walibaki vile vile.
 

stardust JK

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
1,515
2,000
Inasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivioenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
Hivi fred waa sikuhizi yupo wapi? Namkubali sana yule jamaa
Pia kuna kile kipindi cha sitasahau cha fredrick bundala(sky walker)
 

Escaper

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
1,796
2,000
Niwaombeni viongozi wangu mnaotuongoza

Isaidieni sana RFA isife imefanya mambo makubwa katika nchi yetu
Mimi ni mchagga ila imesaidia sana maendeleo yawatu
Mh Raisi Magufuli nakuomba Baba wa Tanzania iokoe hii RFA viongozi mguswe na hili
Nani kakuuliza kabila lako, mbona mnakuwa wangese hivyo??

Akitokea Lumumba aseme Midumare Ngatuni Iwato ni kabila dhaifu utasema kaleta ukabila wakati wewe mwenyewe unajitambulisha kwa ukabila?

Acha ulimbukeni hii ni Tanzania yetu sote ukabila wachie wakenya na Wanyarwanda!
 

City owl

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,930
2,000
Hivi fred waa sikuhizi yupo wapi? Namkubali sana yule jamaa
Pia kuna kile kipindi cha sitasahau cha fredrick bundala(sky walker)
Fred Waa yupo clouds Fm..anafanya kipindi fulani asubuhi, sijui kinaitwaje.
Umenikumbusha pia Sky Walker...huyu jamaa alianzia Victoria FM ya Musoma akawa moto pale ndiyo akapata lile shavu la RFA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom