Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
mngefukuza toka mwanzoo!!!Unafikiri India wanapenda wewe Mwafrika ufanikiwe?
mngefukuza toka mwanzoo!!!Unafikiri India wanapenda wewe Mwafrika ufanikiwe?
mngefukuza toka mwanzoo!!!
Ufanye Kazi kama Mtumwa...Wacha wivu wa kike wewe fanya kazi upate kipato nawe ununue gari zuri
Kiongozi, inasikitisha sanaHivi ndugu zangu watanzania nani ametufundisha hili somo la kuwachukia watu waliotuzidi uwezo wa kifedha(kiuchumi) ?
Huwa nashangaa sana watanzania walivyo na akili za ajabu, wameacha kujadili suala la njaa na matokeo ya kidato cha nne wanajadili madawa.nyie ndio mnaabudu wenye nacho hadi huamini kama sometimes sheria inawashika hadi kunyea debe lupango.
wewe na wenzio msiopenda wahindiMngefunguka akina nani hao? Kwa nini wewe unajitoa?
Mbaya sana Kiongozi.tumefuzwa basi wala ni roho zetu za husda tu na roho mbaya watu kuwa maskini wanatamani kila mtu afanane nae
Hivi ndugu zangu watanzania nani ametufundisha hili somo la kuwachukia watu waliotuzidi uwezo wa kifedha(kiuchumi) ?
big bossBasi wewe unayejua tuambie kinachoendeleaHizi habari uchochoro mnazitoa wapi? Hivi unajua kinachoendelea kweli wewe ??
Inasikitisha sanaHakuna somo kama hilo mkuu. Hao wapumbavu wanaroho Zakimaskini.
Suali zuriWanaShikiliwa na kilo ngapi??
MBOWE nae aliuliza,Alisema Friday watu 65 ni wengi sana, na yeye hawezi ku-Q anashughuli za kufanya..
Umenena Kiongozi.Mkuu, mwenye mawazo ya kimaskini ni yule anayeumia moyo kumuona mwenzake anafanikiwa kiuchumi. Binafsi sina mawazo hayo bali wewe na wenzako mnaochukia matajiri.
Cha muhimu na wewe pambana uwe tajiri.
Anafanya nini huko ndani
Umeona e...Watz ni watu wa ajabu kweli..ukiwa tajir wanakuchukia na wanakuombea upatwe na mabaya...wakat wengine ndio umewaajir..kwa mtazamo huu hatuwezi kuendelea kamwe
Hapo ndipo panapoleta Walakinhivi kweli unajiita mafia alafu unamfata mtu unamwambia jinsi nitakavo kufanyia.unategemea nini si kupigwa kanzu tu.siku zote doni uwa haongei kama muimba taarabu