Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Kweli kabisa mkuu badala ya kuwa na chuki za kikeUfanye Kazi kama Mtumwa...
Ili uje uishi kama Mfalme...
Kweli kabisa mkuu badala ya kuwa na chuki za kikeUfanye Kazi kama Mtumwa...
Ili uje uishi kama Mfalme...
You must be crazy!Waende tu, tuzalisha matajiri wengine.
😀😀😀😀Unaweza ukajisalimisha ukawa nayo hapo hapo kituoni Chief!!!!
Soma tena post yangu uone kama inaendana na majibu yako.Bahati znuri hakuna kichaa anayeweza kutoa maelekezo ya kiserikali
Mpaka anaitwa ushahidi umeshapatikana.kesi zingine sio kama za unyang'anyi ukamsachi mtuhumiwa umkute na feni na tv zilizoibwa,la hashaKwa hiyo mpaka manji anajisalimisha kabisa ulitegemea ataacha ushahidi bila kuuficha??? Duuh na hapa ndipo operation ya makonda inapokosa makali..... walitegemea gwajima ajisalimishe hku ameacha kilo kumi za madawa nyumbani kwake.?? Really??? Hvi hao wahalifu ni wajinga kiasi hicho?? Dah kaz kweli kweli
Waende, ila soko liko bongo, watarudi kwa magoti kuomba msamahaKenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
NdiyoUna uhakika mpk sas yu ndam
Mimi Nina majibu, bado yuko cellMwenye majibu Ya hili swali ni kamanda Siro Simoni
Manji yuko mtaani mkuuMpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, udhani watakusaidia.
Kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
Next time jifunze kuwa sasa hivi kuna muhimili umejichimbia sana chini.
Ushahidi upo??? Sasa mnaenda kusearch majumbani na ofisini sijui mkemia mkuu ili iweje kma ushahidi unao?? Hvi kama unaushahidi kuna haja ya kumuhoji mtu afu eti ukimkuta hana hatia kutokana na maelezo hayo mnamuachia!!!!Mpaka anaitwa ushahidi umeshapatikana.kesi zingine sio kama za unyang'anyi ukamsachi mtuhumiwa umkute na feni na tv zilizoibwa,la hasha