Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Waende tu, tuzalisha matajiri wengine.
Kwani Manji na wenzake wanazuia kuzalisha matajiri wengine. Nadhani hizi ni rumours tu. Fikiria hawa wafunge biashara zao, watu wangapi watakosa ajira, Serikali itakosa kodi kiasi gani, wananchi watadhurika kiasi gani kwa kukosa bidhaa au huduma,....... .nk
 
Kwani Manji na wenzake wanazuia kuzalisha matajiri wengine. Nadhani hizi ni rumours tu. Fikiria hawa wafunge biashara zako, watu wangapi watakosa ajira, Serikali itakosa kodi kiasi gani, wananchi watadhurika kiasi gani kwa kukosa bidhaa au huduma,....... .nk
hatujawafukuza mkuu.
 
Alidhani anaenda kutaja umli na vyeo ndio maana akaenda siku moja Kabla asipokutwa na hatia Makonda kazi anayo


Najua unaushabiki na vita hii, hoja , kisheria inasemaje kumshikiria mtu awe na kosa au asiwe na kosa?pili wamesema anauza madawa ya kulevya, je kwa sasa wanamshikiria kuwa wamemkata anayao aidha ofisini, nyumbani kwake , au mahali kokote? Na je unapaofanya hivyo bila ushahidi kumshikiria kitua cha polisi, inakusaidia nn kwasababu hakutakuwa na kesi wala mashitaka yenye mashiko?hapa serikali lazima inaingia gharama, na itawalipa siku za baadaye
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Wote hao unaowataja hawataondoka Tanzania. Bavicah mmekwama safari hii
 
Kuna dhulma tu... yeye ni mhindi ni rahisi kuchafuliwa na isiwe kitu. ..hasa kwa sasa muhimili huu unavo wanyanyapaa waislam na wapinzani...
manji ni sadaka au kafara ya uchumi mbovu na kukosa ajira...ila unga utauzwa na matajiri wapya watazaliwa
Acha unafiki wa kidini je yule gwajima wa dini gani
 
Acheni kuwa mabwege nyie. Manji yupo anakula bata. Matanzania ni maraisi kweli kuwa madanganyika
 
Hata akikaa wiki nzima bado haitoondoa ukweli kama sisi wote tunaofurahia hatuwezi kumfikia utajiri wake hata robo!
Lakini ajifunze kuheshimi mamlaka. Asubiri siku chadomo wakibahatisha kupata madaraka, mwaka 3035 ndiyo aendeleze dharau zake
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Usikubali kupelekeshwa kisa uzaifu wako

Sasa mtu km anauza unga wananchi wanateketea wewe unatetea uwekezaj??

Cku nyingine utapewa msaada na jamaa half ukimkupa anakugongea mkeo hutasema kitu *** off
 
KABISA, na wasirudi, kama wao wanadhani mambo ya SHAMBA LA BIBI bado yanaendelea basi hatuna haja nao..wacha tufe na mali zilizobakia, na tuendelee kuwa maskini kuliko wazidi kutafuna na kuendelea na ufisadi wao kama vile hakuna dola..
 
Hivi ndugu zangu watanzania nani ametufundisha hili somo la kuwachukia watu waliotuzidi uwezo wa kifedha(kiuchumi) ?
tumefuzwa basi wala ni roho zetu za husda tu na roho mbaya watu kuwa maskini wanatamani kila mtu afanane nae
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa akili yako kabisa eti manji yupo ndani. Mnachekesha sana
Yupo ndani angetoka mbwembwe zake ungeziona, press kubwaa ... au kaambiwa atoke kimya kimya?
 
Acheni kuwa mabwege nyie. Manji yupo anakula bata. Matanzania ni maraisi kweli kuwa madanganyika
Najua akitoka tu anaitisha press kutujuza ushindi wake, kama kimya basi bado yupo ndani, hana uvumilivu kabisa huyo!
 
Toweni ujinga kudanganya hapa nani kakwambia yupo ndani? Tumia akili kuwaza na sio tumbo
 
Yupo ndani angetoka mbwembwe zake ungeziona, press kubwaa ... au kaambiwa atoke kimya kimya?
Hawez toka kimya kimya wewe mhindi unamjua au? Labda gari yake ndio imetoka kimyakimya. Wote wawili yeye na Gwaji hawana ustaarabu wa kukaa kimya tutaelewa tu...mipicha tutaiona kote
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Kenya si Tanzania mkuu, nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani. Manji ajifunze kuheshimu dola.alidhani anapambana na makonda yule wa mtandaoni.si vema kubishana na dola na hasa inapokua kwenye operesheni ngumu kama hizi kwa kutegemea ukwasi ulionao
 
Acha kutudangany manji saiz yupo kwake sema police wanaogopa kuweka waz insu kua jamaa ameachiwa saiz anakula bata tu na mke wake
Na yy anaogopa kusema nimeachiwa? Aliingia kwa mbwembwe ila katoka kimya kimya!!
 
Back
Top Bottom