roho mbaya tuuWaende tu, tuzalisha matajiri wengine.
roho mbaya tuuWaende tu, tuzalisha matajiri wengine.
watakaokosa ajira utawaajiri wewe?hatujawafukuza mkuu.
Waambie wanadhani kujenga himaya ni mchezo mchezowatakaokosa ajira utawaajiri wewe?
nyie ndio mnaabudu wenye nacho hadi huamini kama sometimes sheria inawashika hadi kunyea debe lupango.Acha kutudangany manji saiz yupo kwake sema police wanaogopa kuweka waz insu kua jamaa ameachiwa saiz anakula bata tu na mke wake
na watakaokosa ajira nao utawaajiri wewe?Wakiondoka wanatoa fursa ya wengine kukua.
manji ameajiri Zaidi ya watanzania 100 wanaomtegemea kuendesha maisha yao na familia zao wewe umeajiri wangapi wakati hata hausi geli tu anakushindakwasauti ya manji: taka sifa pitia gongo yangu. mbona mimi nalipa kodi bila shida
Halafu wanajifanya eti acha waondoke, wakati hao ndiyo walipa kodi wakubwa. Hizo kaya watazilisha wao, pengo la kodi watalipamanji ameajiri Zaidi ya watanzania 100 wanaomtegemea kuendesha maisha yao na familia zao wewe umeajiri wangapi wakati hata hausi geli tu anakushinda
tuambie basiiJambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa akili yako kabisa eti manji yupo ndani. Mnachekesha sana![]()

Ahahahaha mkuu naona unajiliwaza unaweza kutufahamisha yupo sero ipi?hii ndio bongo, mikwala ya press, gari Kali "range rover,", 9 lawyers. lakini wapi wamekung'ang'ania hii ndo bongo da!
wabongo tuna asili ya roho mbaya mnooo!!!!manji ameajiri Zaidi ya watanzania 100 wanaomtegemea kuendesha maisha yao na familia zao wewe umeajiri wangapi wakati hata hausi geli tu anakushinda
Kinacho endelea sasa hivi si vita dhidi ya madawa ya kulevya, bali ni kuonyeshana ubabe nani mwenye nguvu.Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, udhani watakusaidia.
Kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
Next time jifunze kuwa sasa hivi kuna muhimili umejichimbia sana chini.
Mmemwona manji akiwa ndani au mnabinua midomo tu
wabongo tuna asili ya roho mbaya mnooo!!!!
hua hatupendi kuona wengine au mtu aliyefanikiwa...
Hii ndio Halisi.wabongo tuna asili ya roho mbaya mnooo!!!!
hua hatupendi kuona wengine au mtu aliyefanikiwa...
Filamu hiyo kacheza kitu kama ICE T hivi, kama niko sawaNilikuwa najikumbushia muvi za Hollywood za madawa ya kulevya kama ile ya new jack city na nyinginezo, hivi wale madon wa unga huwa wanajipeleka police kirahisi? Maana ukiziangalia zile movie mpk kumkamata don sterling japo hafi ila cha moto anakiona,
Naifananisha na hii movie ya bongo kwa sasa, NAONA KAMA VILE MADON BADO HAWAJAGUSWA, MAANA WANGEGUSWA SIDHANI KM WANGEJIPELEKA POLICE KWA KUITWA/KUJISALIMISHA MPAKA STERLING AKIONE CHA MOTO KWANZA
NI MOVIE TUU