Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
 
Huwezi kushindana na Dola,alidhani watu hawajajipanga,kaambiwa afadhali umekuja mapema,ngoja tukapime damu yako kwanza,halafu tukakusachi ofisini na nyumbani.Kwa mtu kama manji kumpekuwa ofisini lazima watakuta na nyaraka zingine ambazo hazitakiwi kufika mikononi mwa polisi!!
 
Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.

kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.

next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Kuna dhulma tu... yeye ni mhindi ni rahisi kuchafuliwa na isiwe kitu. ..hasa kwa sasa muhimili huu unavo wanyanyapaa waislam na wapinzani...
manji ni sadaka au kafara ya uchumi mbovu na kukosa ajira...ila unga utauzwa na matajiri wapya watazaliwa
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Waende tuibuke wapya waachie fursa
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Unafikiri ni rahisi Kujenga himaya?
 
Back
Top Bottom