Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Kuna dhulma tu... yeye ni mhindi ni rahisi kuchafuliwa na isiwe kitu. ..hasa kwa sasa muhimili huu unavo wanyanyapaa waislam na wapinzani...
manji ni sadaka au kafara ya uchumi mbovu na kukosa ajira...ila unga utauzwa na matajiri wapya watazaliwa
Waislam na wapinzani ati!! una uhakika!!
 
Binafisi nampongeza Rais Magufuli kwa haya anayo fanya toka ameingia Madalakani yuko sahihi kabisa. lazima kuwe na utofauti kati Selikali na matajili Matajili ukiwaacha wakaota mapembe nchi itayumba,hivi sasa ndio tumepata Baba wa Taifa kwa mala nyingine.Wenye Akili timamu tunajuwa anachokifanya huyu Mzee na Matunda yake titayaona Badae Asante Rais wangu.

Amuweni wenyewe, huyu shule kasomea nini?
 
Wewe unaongea hujui madhara ya kuondoka matajiri katika nchi, mpaka leo Uganda inabembeleza wafanyabiashara wake waliohama kwenda Uingereza na Canada enzi ya Raisi Iddi Amin lakini wapi, wameondoka na nguo zao lakini kwa sasa wengi wao ni wafanyabiashara wakubwa katika nchi hizo. Wafanyabiashara, wawekezaji na hata wananchi wanapenda nchi salama na inaendeshwa katika misingi ya haki na sheria. Tizama mfano wa nchi iliyo karibu ya zimbabwe wananchi wake wengi wamekuwa wakimbizi Afrika ya kusini.
good point.
 
hivi kweli unajiita mafia alafu unamfata mtu unamwambia jinsi nitakavo kufanyia.unategemea nini si kupigwa kanzu tu.siku zote doni uwa haongei kama muimba taarabu
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Uwezo mdogo WA kufkr
 
huyu shule kasomea kutema madini tupu

A SINCERE APOLOGY:
A man received this message from his neighbour...
"Sorry sir, I have been using your wife day and night when you are not at home, in fact, much more than you do.
I confess this now because I am feeling very guilty. Hope you will accept my sincere apologies."
Immediately after reading the message, the man shot his wife dead.
A few minutes later, he received another message:
"Sorry sir, a spelling mistake...
I meant Wifi. not Wife."
Always be patient in typing, Also in taking actions. Patience is a Virtue.
 
Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, udhani watakusaidia.

Kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.

Next time jifunze kuwa sasa hivi kuna muhimili umejichimbia sana chini.
Wrwe unawashwa
 
A SINCERE APOLOGY:
A man received this message from his neighbour...
"Sorry sir, I have been using your wife day and night when you are not at home, in fact, much more than you do.
I confess this now because I am feeling very guilty. Hope you will accept my sincere apologies."
Immediately after reading the message, the man shot his wife dead.
A few minutes later, he received another message:
"Sorry sir, a spelling mistake...
I meant Wifi. not Wife."
Always be patient in typing, Also in taking actions. Patience is a Virtue.
Asante
 
Alidhani anaenda kutaja umli na vyeo ndio maana akaenda siku moja Kabla asipokutwa na hatia Makonda kazi anayo
Jamaa hatoki kwenye hii kesi we subiri majibu yake kama wamempeleka kwa mkemia mkuu, uyu jamaa teja kindaki ndaki sasa hapo atasema anunua wapi
 
Back
Top Bottom