addallah
Member
- Jan 27, 2017
- 56
- 21
Mkuu maskini ndo walivo.Wacha wivu wa kike wewe fanya kazi upate kipato nawe ununue gari zuri
Mkuu maskini ndo walivo.Wacha wivu wa kike wewe fanya kazi upate kipato nawe ununue gari zuri
Kama utajiri wao unakuwa kwa njia za rushwa, unatusaidiaje sisi zaidi ya kutunyonya!kama unashindwa kuongeza waliopo huwezi kuzalisha wakiondoka izo akili za kimaskini
Kweli kabisa kiongoziMkuu maskini ndo walivo.
Hivi Dangote bado hajafikaKenya?....Kenya si Tanzania mkuu, nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani. Manji ajifunze kuheshimu dola.alidhani anapambana na makonda yule wa mtandaoni.si vema kubishana na dola na hasa inapokua kwenye operesheni ngumu kama hizi kwa kutegemea ukwasi ulionao
Hahahaha... Yani wabongo wengine akili zenu asikae ndani yeye nani,Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa akili yako kabisa eti manji yupo ndani. Mnachekesha sana![]()
Ni kweli tunahitaji matajiri lakini wawe ni wale wasiokuwa na hata harufu tu ya kujihusisha na biashara hii haramu!Wewe unaongea hujui madhara ya kuondoka matajiri katika nchi, mpaka leo Uganda inabembeleza wafanyabiashara wake waliohama kwenda Uingereza na Canada enzi ya Raisi Iddi Amin lakini wapi, wameondoka na nguo zao lakini kwa sasa wengi wao ni wafanyabiashara wakubwa katika nchi hizo. Wafanyabiashara, wawekezaji na hata wananchi wanapenda nchi salama na inaendeshwa katika misingi ya haki na sheria. Tizama mfano wa nchi iliyo karibu ya zimbabwe wananchi wake wengi wamekuwa wakimbizi Afrika ya kusini.
Hakuna somo kama hilo mkuu. Hao wapumbavu wanaroho Zakimaskini.Hivi ndugu zangu watanzania nani ametufundisha hili somo la kuwachukia watu waliotuzidi uwezo wa kifedha(kiuchumi) ?
Toweni ujinga kudanganya hapa nani kakwambia yupo ndani? Tumia akili kuwaza na sio tumbo
Sawa lakini isiwe ya kufanya biashara haramu kama hawa wanaoshikiliwa!Wacha wivu wa kike wewe fanya kazi upate kipato nawe ununue gari zuri
Kwahiyo unaamini kwamba vitu kama hivyo inafaa tufanyiwe sisi malofa lakini mtajiri wao ndo wenye haki kisheria kubembelezwa hata wakipata tuhuma mbaya kama hizi za mihadarat?Nasisitiza hekima kuu kutumika ktk michakato inayosimamiwa na wanasiasa kwa maslahi ya taifa sasa na baadae..
Tukilejea njia zilizotumiwa kwenye kinachoitwa primitive accumulations of capital yapo mengi ya kujifunza.
Kuna level ya ufanyabiashara,uwekezaji na ujasiliamali mtu akifanikiwa kufika anapaswa kuheshimiwa,kuhenziwa na kupewa misaada ya kimkakati hasa kwa kuzingatia athari za uwekezaji wake katika uchumi na taifa kwa ujumla.Mfano: Ulipaji wa kodi,Ajira rasmi na zisizo rasmi,Mzunguko wa fedha.
Haki inapatikana selo au mahakamani?
Mkuu usihukumuSawa lakini isiwe ya kufanya biashara haramu kama hawa wanaoshikiliwa!
Hivi ndugu zangu watanzania nani ametufundisha hili somo la kuwachukia watu waliotuzidi uwezo wa kifedha(kiuchumi) ?
Kwani hawezi shitakiwa mahakama za nnjeNahuo ndo ukweli mbona akna dangote,billgates,caros slim wanaheshimu serikali zao Kwani hawa ni akina Nani? Najua hwawez amin saiv ila baadae wataamin tu.... Halafu mwenyenchi angekuwa kama wanavofikiria wao makonda angeshitakiwa lakini KWA magufuli hahaaaa... WAKAJIANDAEE
Lete ushahidi wa picha! Wewe na kamanda Siro unadhani anayeaminika zaidi ni nani!?Mbona nimemuona ofisini kwake nyerere road hapa anaongea na jamaa wawili nje ya jengo au wapo manji wawili
Ndo umeandika nini sasa. Kukaa kimya nibusara sana kuliko kuonyesha ujinga wako mbele zawatu.Lakini ajifunze kuheshimi mamlaka. Asubiri siku chadomo wakibahatisha kupata madaraka, mwaka 3035 ndiyo aendeleze dharau zake
Huyo mtu wa ELAcha unafiki wa kidini je yule gwajima wa dini gani
Asingekueepo ndani angekuwa amekwisha ongea na vyombo vya habari. Kama unasikia kimiya ujue yupo katika Tanuru la Kamanda siroMna uhakika yupo ndani???
Wewe unaongea hujui madhara ya kuondoka matajiri katika nchi, mpaka leo Uganda inabembeleza wafanyabiashara wake waliohama kwenda Uingereza na Canada enzi ya Raisi Iddi Amin lakini wapi, wameondoka na nguo zao lakini kwa sasa wengi wao ni wafanyabiashara wakubwa katika nchi hizo. Wafanyabiashara, wawekezaji na hata wananchi wanapenda nchi salama na inaendeshwa katika misingi ya haki na sheria. Tizama mfano wa nchi iliyo karibu ya zimbabwe wananchi wake wengi wamekuwa wakimbizi Afrika ya kusini.