Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Masikini Manji, hii ndio Bongo!

I’m from the city where the Muslims even Christians hate it.

Even the black folk hate to see another nigga made it
But this is the reality by surrounding evidence even in normal life situation many poor people use to talk negative about successful people.
 
But this is the reality by surrounding evidence even in normal life situation many poor people use to talk negative about successful people.
It's true....nimevisit maeneo unakuta let's say bangalow la ukweli..ukiuliza huyu mtu anafanya kazi gani Maana nyumba yake si mchezo..unaishia kuambiwa "ata haieleweki atakuwa anauza madawa huyu" hahahaha poor people bana cjui tukoje.
 
Acha kutudangany manji saiz yupo kwake sema police wanaogopa kuweka waz insu kua jamaa ameachiwa saiz anakula bata tu na mke wake
Tofautisha kushabikia timu za mpira kama Mwaloni United na Asernal na kushabikia dola!
 
M
Hivi ndugu zangu watanzania nani ametufundisha hili somo la kuwachukia watu waliotuzidi uwezo wa kifedha(kiuchumi) ?
Uliza pia "nani katufundisha kuwatetemekea matajiri na kuwaona wao hawastahili kuswekwa mahabusu?
 
Breaking news

Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima amechiwa huru baada ya kushikiliwa na Polisi kwa tuhuma za dawa za kulevya.
 
Watz ni watu wa ajabu kweli..ukiwa tajir wanakuchukia na wanakuombea upatwe na mabaya...wakat wengine ndio umewaajir..kwa mtazamo huu hatuwezi kuendelea kamwe
 
If that is da case tgen salute to Maguful this had never happon...huwez kutukana mteuzi wa rais mpumbavu kwenye vyombo vya habari hata kama umekwaza kuna kumanage anger
Umeandika nin aisee..tumia kiswahili tutakuelewa tu
 
Watz ni watu wa ajabu kweli..ukiwa tajir wanakuchukia na wanakuombea upatwe na mabaya...wakat wengine ndio umewaajir..kwa mtazamo huu hatuwezi kuendelea kamwe
kwenye historia ya viwanda nchini kulikuwa na wale jamaa wanaoharibu machine kwamba zimewapora kazi zao. Akili za wale jamaa zinafanana na hizi za kuwachukia matajiri
 
Nahis tanzania kuna kiwango kikubwa sana cha ujinga
 
Lakini mbona wakufungwa viatu hajatajwa wakati anaishi dar hapahapa au hii si hasa tu?
 
Lakini mbona wakufungwa viatu hajatajwa wakati anaishi dar hapahapa au hii si hasa tu?
 
Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, udhani watakusaidia.

Kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.

Next time jifunze kuwa sasa hivi kuna muhimili umejichimbia sana chini.
Somo kwa ndugu zangu nyie matajiri;
Watu wa sirikali ni watu wa muda mfupi tu kazini; especially politicians; hawa watu ni wezi, corrupt, prostitutes, worse than pigs and dogs. Msiwafanyie mzaa.
Msiwachekee. Wakiomba rushwa wapeni wakimbieni.

Wanunulieni Pombe wanywe hadi walewe wakimbieni. Msiwaonyeshe biashara zenu, wasifieni muwakimbie. Msiwapeleke nyumbani kwenu.

Ukimpa polisi pesa nyingi atafurahi. Lakini akijua unapesa nyingi atakutafutia visa. Hakumbuki wema uliomfanyia. Even the dog remembers the master; siyo mwanasiasa au polisi!

Sifa kubwa urafi, hawajui kutafuta, hawajui kutoa, wenyewe ni wapokeaji tu!

Manji, all these CCM trolls, were in your payroll !! Umeona rangi yao?

Question: Have you seen a rich politician after retirement? No, they end up in early death!! Only presidents and prime ministers live longer because they receive 80 percent of salaries of their successive presidents for their life time!

Question: Then why ministers, RCs and other politicians don't fight for their benefits to be upgraded like their prime ministers and presidents to follow their currents rates? Greed!!!They live a day in their life; hawaangalii mbali!!

Duniani hakuna nchi iliyoendelea bila kuwa na matajiri, lazima at least a section of the population go up then the rest will follow!!! China did it, East Asian tigers did it!

Pambafu
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa akili yako kabisa eti manji yupo ndani. Mnachekesha sana
Kwa Taarifa yako bado yupo Sentero na nduguzake wametoka kumletea Vizitas(Msosi) muda si mrefu! kama unabisha nenda pale waambie mie ndie yule shabiki wa Yanga aliniagiza nimletee sigara! kama huja muona kumbe anaongea Kiswahili kilicho nyooka kama Mzaramo! hilo nilikuwa sijui.
 
Back
Top Bottom