7spirits
JF-Expert Member
- Dec 1, 2015
- 612
- 514
Hawapekui ili kujifurahisha ndugu yangu...ni process yenye makusudi kwamba kunapatikana ushahidi ili ku-justify uamzi wa mwendesha mashitaka kumpeleka mtuhumiwa mahakamani na ndiyo maana kama upekuzi ukishindwa kuwa successful wanaweza kuachana na kesi mahakamani. Naelewa ninachokujibu.Kumpekuwa mtuhumiwa ni process tu ya kisheria kabla ya kufika mahakamani,na sio lazima ukutwe na kidhibiti ukipekuliwa
