Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Usiwaze kitoto na kimaskini,...kuhamisha multimillion investments sio sawa na kutoka tandale kwenda madale!
 
Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.

kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.

next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Acha kutudangany manji saiz yupo kwake sema police wanaogopa kuweka waz insu kua jamaa ameachiwa saiz anakula bata tu na mke wake
 
Binafisi nampongeza Rais Magufuli kwa haya anayo fanya toka ameingia Madalakani yuko sahihi kabisa. lazima kuwe na utofauti kati Selikali na matajili Matajili ukiwaacha wakaota mapembe nchi itayumba,hivi sasa ndio tumepata Baba wa Taifa kwa mala nyingine.Wenye Akili timamu tunajuwa anachokifanya huyu Mzee na Matunda yake titayaona Badae Asante Rais wangu.
 
m nasubr mwsho wa movie ndo tachangaia uz wako mkuu.
 
Binafisi nampongeza Rais Magufuli kwa haya anayo fanya toka ameingia Madalakani yuko sahihi kabisa. lazima kuwe na utofauti kati Selikali na matajili Matajili ukiwaacha wakaota mapembe nchi itayumba,hivi sasa ndio tumepata Baba wa Taifa kwa mala nyingine.Wenye Akili timamu tunajuwa anachokifanya huyu Mzee na Matunda yake titayaona Badae Asante Rais wangu.
tajili= tajiri
utashangaa eti unasingizia typing error
 
Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.

kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.

next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Hivi kumbe sero ni jehanamu???
 
Binafisi nampongeza Rais Magufuli kwa haya anayo fanya toka ameingia Madalakani yuko sahihi kabisa. lazima kuwe na utofauti kati Selikali na matajili Matajili ukiwaacha wakaota mapembe nchi itayumba,hivi sasa ndio tumepata Baba wa Taifa kwa mala nyingine.Wenye Akili timamu tunajuwa anachokifanya huyu Mzee na Matunda yake titayaona Badae Asante Rais wangu.

roho mbaya utakufa maskini wewe mana chuki zako kwa matajiri hazitakuongezea kitu
 
Jamaa anapiga kachori tu na pilipili ya kuchoma katulia zake anasubiri utaratibu unaofata maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom