Masharti ya mazishi ya Wakili Munuo

Masharti ya mazishi ya Wakili Munuo

Huyu ndo kidogo kauenzi utamaduni wa kibantu japo robo,

ila kuna wafia dini kutoka Jerusalem,Mecca na Vatican watakuja kuchafua hali ya hewa hapa maana nasikia ni wasemaji na mawakala wa kutoa hukumu duniani kwa niaba ya Mungu wao kwa kusema marehemu kapotoka, kwa niaba ya wabantu wote humu msiokua zero brain kwa kufuata dini za mashariki ya kati nasema






Povu ruksaaaaaaaaa!
 
Huyo akili iliishachoka. Uzikwe kaburi lijazwe samadi, hata na cheo chake kitaaluma maamuzi yake ni kuwasumbua watu.

Au ndo aliona amkomeshe huyo mke aliyemlaza korokoroni.

Anyways hakuna jipya chini ya mbingu.
 
MASHARTI YA MAZISHI YA BW. NICHOLAUS IMBIANDUMI NDAASHUKA MUNUO @ _Lord MUNUO!!!


LORD MUNUO, Wakili maarufu wa Arusha, ametamgulia mbele za haki.

MASHARTI YAKE:

1. Atazikwa na ngozi bila jeneza na amesema atazikwa na ngozi ya Chui
2. Mwili wake utafungwa na masago ya migomba
3. Anazikwa mwenye zizi la ng'ombe ambalo lipo maji ya chai ambako alikuwa anafuga mifugo yake
4. Kaburi lake litawekwa Kinyesi cha ngombe tu bila udongo
5. Hakuna kuomboleza
6. Walioalikwa tu ndio watakaohudhuria mazishi kwa maana ya wanafamilia tu
7. Anazikwa kimila na familia yake na hakuna kanisa au msikiti uloalikwa
8. Jina lake ni Nicholas Imbiandumi Ndaashuka Munuo ila alienda kuapa mahakamani akajibadolisha jina akaitwa Lord Ng'uni Imbiandumi Ndaashuka Munuo. Ng'uni ni kijiji alichozaliwa
9. Ng'uni ndiko makao makuu ya Bantu Union ambako yeye ndiuo founder wake alikuwa na president wake


Mengine naendelea kuyafuatilia kuna masharti inasemekana 100 yameandikwa kisheria
Wafrika kabla hatujaletewa hizi dini za kikristo
Na kislam!
Wafrika tulikuwa tunazikanaje????

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Daa, sikumbuki lini nilienda church mara ya meisho
Hahahahaha
Aise lkn tukijiuliza afrika kabla wazungu na warabu kuja tulikuwa tunaishije?
Kama ni imani ina maana tulikuwa na namna yetu ya kuabudu
Alafu kitu kngine hata hii historia tuliyosoma shuleni ina mapungufu mengi ina uwongo sana

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo nina uhakika kwa imani yangu ktk maandiko matakatifu (Biblia)

1 Wathesalonike :4:16
Maana patatolewa amri, sauti ya malaika mkuu, sauti ya tarumbeta ya Mungu, naye Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni. Ndipo wale waliokufa wakiwa wanamwamini Kristo watafufuliwa kwanza.
Amen
 
Unaelewa kwamba ukiwa na imani maana yake huna hakika?

Thibitisha ufufuo utatokea.
Unasumbuliwa na "kiburi" cha uzima. uzima ukiteteleka kwa namna yoyote ile utamkumbuka Mungu, utamtafuta na unaweza kuwa umechelewa.
 
Binadamu ukisha kufa unakua hua faida tena, lolote litakalofanyika nyuma yako halina manufaa yeyote kwako, baada ya kifo kitakachokusaidia ni matendo yako mema uliyokua ukiyafanya enzi za uhai wako, zingine mbwembwe tu.
We haya una uwakika nayo?ymeyajulia wap?
Binadamu ukisha kufa unakua hua faida tena, lolote litakalofanyika nyuma yako halina manufaa yeyote kwako, baada ya kifo kitakachokusaidia ni matendo yako mema uliyokua ukiyafanya enzi za uhai wako, zingine mbwembwe tu.
we haya uliyoyasema una uwakika nayo?umeyajuaje kuwa ni kweli bila mashaka?
 
Una hakika huo ufufuo upo kweli au umelishwa matango ya pori tu?

Unaweza kuthibitisha ufufuo upo kweli?
ZABURI 14: 1

1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
 
Huyo akili iliishachoka. Uzikwe kaburi lijazwe samadi, hata na cheo chake kitaaluma maamuzi yake ni kuwasumbua watu.

Au ndo aliona amkomeshe huyo mke aliyemlaza korokoroni.

Anyways hakuna jipya chini ya mbingu.
Yumkini unamuelewa mzee kwa undani zaidi maana tukio la kulazwa ndani na mkewe lilitokea huko kanisani KKKT masama alipopiga honi kumuita mkewe wakati ibada inaendelea na kusababisha usumbufu
 
Yumkini unamuelewa mzee kwa undani zaidi maana tukio la kulazwa ndani na mkewe lilitokea huko kanisani KKKT masama alipopiga honi kumuita mkewe wakati ibada inaendelea na kusababisha usumbufu
Mkuu acha urongoo....mama munuo alikua jaji wa kwanza mwanamkee.pia hon mzee alipiga mahakamani sio kanisani.sio lazima kila kitu ujie
 
Hayo ni yake bwana Munuo siku ya ufufuo ndiyo atajua hakujua kuna msemo ni heri uamini kuna Mungu halafu usimkute kuliko kuamini hakuna Mungu halafu uje ukutane naye hapo ndipo patakuwa kilio na kusaga meno
Umasikini wa fikra
 
Back
Top Bottom