Hayo maneno zama hizi si silaha tena yanakushushia credibility maana unaonesha haupo huru katika imani yako
mtoto anayeenda kwa viboko ni sawa na wewe mlokole unayetenda mema baada ya kutishiwa moto.... Wote hamko huru
HUJUI KITU BADO, YAKUPASA UWE TAYARI KUJIFUNZA ILI UELEWE
1. Mfalme Nebukadreza aligeuzwa kuwa mnyama miaka 7 akala majani kwa kuwa alikuwa na kiburi na alijifunza kuwa yupo Mungu kupitia hilo pigo
2. Farao na wamisri walipigwa mapigo Saba ikiwa ni pamoja na kufiwa wazaliwa wao wote wa kwanza kwa sababu ya kiburi na kukana uwepo wa Mungu, na walikiri uwepo wa Mungu kupiti mapigo hayo
3. Sauli kabla hajaitwa PAULO walipigwa upofu na akajifuza namna sahihi ya kumtumikia Mungu wa kweli.
4. Mungu aliwanyima Israel mvua miaka mitatu kwa neno la nabii Elia. Watu na wanyama walikufa. Watu walimrudia Mungu kupitia thiki hiyo.
Kuna mifano mingi sana.. JE UNATAKA KUINGIA KATIKA MIFANO HIYO KWA KUFANYA SHINGO YAKO KUWA NGUMU?
HATA HIVYO MUNGU ANASEMA MTOTO AONYWE KWA FIMBO
(Proverbs 23:13–14
13 Do not withhold correction from a child,
For if you beat him with a rod, he will not die.14 You shall beat him with a rod,
And deliver his soul from hell.
Mithali 23:13
Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.)