Masharti ya mazishi ya Wakili Munuo

Masharti ya mazishi ya Wakili Munuo

Anaweza kuwa alikuwa na percentage fulani ya UCHIZI hivyo watu wake wachukue nafasi kujiridhisha na hatua za kuchukua.

Yeye pamoja na kuwa Wakili asiwekee watu masharti ya nini cha kufanya juu yake kwani ameshakufa, otherwise kama anadhani alikuwa super intelligent basi angesubiri AJIZIKE mwenyewe!

Asiwe kama Reginald Mengi ambaye naye aliweka sharti la mtu akishinda kesi dhidi ya wosia wake basi alipwe Tshs.1,000/= wakati akijua hata legal papers za kutolea hiyo judgment ni worth zaidi ya hiyo Tshs.1000!

WASIPANGIE WATU CHA KUFANYA!
Mkienda tofauti mnaweza kupata tabu
 
Unasumbuliwa na "kiburi" cha uzima. uzima ukiteteleka kwa namna yoyote ile utamkumbuka Mungu, utamtafuta na unaweza kuwa umechelewa.
Kuna watu wanakesha fellowship na wanaandamwa na mikosi, maradhi, ufukara nk kuliko huyo unayemuandama Kiranga
 
Kuna watu wanakesha fellowship na wanaandamwa na mikosi, maradhi, ufukara nk kuliko huyo unayemuandama Kiranga
Mtu anakwambia uzima ukitetereka utamkumbuka Mungu.

Wakati uzima kutetereka ni ishara kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo!

Contradiction.
 
Mtu anakwambia uzima ukitetereka utamkumbuka Mungu.

Wakati uzima kutetereka ni ishara kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo!

Contradiction.
Wamefundishwa hofu
 
Nauliza Kama huyo Munuo Ana uhusiano na Yule Munuo anayejiita Nabii Elia Mungu wa majeshi mwanzilishi wa kanisa la Siloam?
 
Hiyo ngozi ya chui wataipata wapi wakati ni nyara ya serikali ila huenda alishajiandalia alishainunua kisheria ila namfagilia sana huyu mzee anafuata mila
 
Hayo ni yake bwana Munuo siku ya ufufuo ndiyo atajua hakujua kuna msemo ni heri uamini kuna Mungu halafu usimkute kuliko kuamini hakuna Mungu halafu uje ukutane naye hapo ndipo patakuwa kilio na kusaga meno
Kwani kuna sehemu amesema haamini kwamba kuna Mungu, wakati yeey mwenyewe anaamini ni nabii wa wabantu.
 
Hiyo tafsiri yako ya imani kwangu ni kinyume kwa mujibu wa maandiko matakatifu (Biblia) tuisome hapa

EBR. :11:1
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana

Nimekuthibitishia kwa mujibu wa biblia hapo awali labda kama hukuelewa ila kwa mujibu wa biblia kuna ufufuo Kristo Yesu Bwana na mwokozi wetu atakaporudi tena kwa sisi tulio na imani kwake hatuna shaka juu ya hilo
Mkuukiranga ni mbishi sana... Hapa mtabishana mwezi mzima bora unyamaze tu.
 
Kuna watu wanakesha fellowship na wanaandamwa na mikosi, maradhi, ufukara nk kuliko huyo unayemuandama Kiranga
Yesu hakuwa na nyumba, hakuwa tajiri, na aliuwawa bila kosa. Mtazamo wako kuhusu Mungu ni wa vitu siyo wa kiroho.
 
We haya una uwakika nayo?ymeyajulia wap?

we haya uliyoyasema una uwakika nayo?umeyajuaje kuwa ni kweli bila mashaka?
Kajifundishe kuandika kwanza halafu ndio urudi hapa kuandika ili ueleweke umeandika nini.
 
Nauliza Kama huyo Munuo Ana uhusiano na Yule Munuo anayejiita Nabii Elia Mungu wa majeshi mwanzilishi wa kanisa la Siloam?
Koo za Wachaga Tu from Mababu to Babuus. Maybe ukitrace Kinship kuna Mahali wanakutana kindugu.
 
Sasa watakufa chui wangapi ngozi zao kumviringisha yeye?
 
Huyo akili iliishachoka. Uzikwe kaburi lijazwe samadi, hata na cheo chake kitaaluma maamuzi yake ni kuwasumbua watu.

Au ndo aliona amkomeshe huyo mke aliyemlaza korokoroni.

Anyways hakuna jipya chini ya mbingu.
Scientists/Inventors kila siku wanaibua mambo mapya.....
nyie kazi zenu kuleta sentesi za kukariri ie hakuna jipya chini ya jua huwa siwaelewi kabisa
 
Sipendi jitu linaacha wosia ambao ni kero kwa wanaobaki, mimi (binafsi yangu) mtu akiacha wosia wa ajabu ajabu wenye masharti kibao wala sihangaiki nendalifukia tu huko basi...
Imagine mtu anasema akifa achomwe moto!!!
 
Back
Top Bottom