Masharti ya mazishi ya Wakili Munuo

Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,657
2,000
MASHARTI YA MAZISHI YA BW. NICHOLAUS IMBIANDUMI NDAASHUKA MUNUO @ Lord MUNUO!!!


LORD MUNUO, Wakili maarufu wa Arusha, ametamgulia mbele za haki.

MASHARTI YAKE:

1. Atazikwa na ngozi bila jeneza na amesema atazikwa na ngozi ya Chui
2. Mwili wake utafungwa na masago ya migomba
3. Anazikwa mwenye zizi la ng'ombe ambalo lipo maji ya chai ambako alikuwa anafuga mifugo yake
4. Kaburi lake litawekwa Kinyesi cha ngombe tu bila udongo
5. Hakuna kuomboleza
6. Walioalikwa tu ndio watakaohudhuria mazishi kwa maana ya wanafamilia tu
7. Anazikwa kimila na familia yake na hakuna kanisa au msikiti uloalikwa
8. Jina lake ni Nicholas Imbiandumi Ndaashuka Munuo ila alienda kuapa mahakamani akajibadolisha jina akaitwa Lord Ng'uni Imbiandumi Ndaashuka Munuo. Ng'uni ni kijiji alichozaliwa
9. Ng'uni ndiko makao makuu ya Bantu Union ambako yeye ndiuo founder wake alikuwa na president wake


Mengine naendelea kuyafuatilia kuna masharti inasemekana 100 yameandikwa kisheria
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom