Ngozi ya chui inauzwa kihalali kabisa unapewa na risti ya EFD.Hiyo ngozi ya chui ipo wapi kumbe na wasomi ni washikina?
Atakuwepo kabudi mzee wa povu.Kwahiyo hata mwakilishi wa Chadema hatakuwepo kwenye mazishi?
Nenda kazindue msitu huko.Kwahiyo hata mwakilishi wa Chadema hatakuwepo kwenye mazishi?
Ngozi na ushirikina wapi na wapiHiyo ngozi ya chui ipo wapi kumbe na wasomi ni washikina?
Matendo yanakusaidia Nini wakati ukishakufa your deadbody unconscious.Binadamu ukisha kufa unakua hua faida tena, lolote litakalofanyika nyuma yako halina manufaa yeyote kwako,baada ya kifo kitakachokusaidia ni matendo yako mema uliyokua ukiyafanya enzi za uhai wako,zingine mbwembwe tu.
Hayo ni yake bwana Munuo siku ya ufufuo ndiyo atajua hakujua kuna msemo Ni heri uamini kuna Mungu halafu usimkute kuliko kuamini hakuna Mungu halafu uje ukutane naye hapo ndipo patakuwa kilio na kusaga meno
Wapi kasema hakuna Mungu ? Au unafikiri kuamimi hizo dini mbili kuu ndio kuamini Mungu.Mungu yupo kabla ya hizo dini za wakoloniHayo ni yake bwana Munuo siku ya ufufuo ndiyo atajua hakujua kuna msemo Ni heri uamini kuna Mungu halafu usimkute kuliko kuamini hakuna Mungu halafu uje ukutane naye hapo ndipo patakuwa kilio na kusaga meno
Binadamu ukisha kufa unakua hua faida tena,lolote litakalofanyika nyuma yako halina manufaa yeyote kwako,baada ya kifo kitakachokusaidia ni matendo yako mema uliyokua ukiyafanya enzi za uhai wako,zingine mbwembwe tu.
Danieli 12:2Ufufuo upi unaozungumzia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani ameshafufuka mpaka sasaDanieli 12:2
Tena, wengi wa hao wanaolala katika mavumbi ya nchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa milele.
Hapa natoka kumchoma moto ndugu yangu(aliacha wosia kuchomwa moto akifa), kama unadhani umejifunza yote ujue bado una mengi sana ya kujifunza.Duu Moshi si kuna yule mwingine alisema achomwe moto .Wachagga mna nini lakini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naona mwamba alipania sana kua mzimu enzi uhai wake
Siku ya mazishi yake ndg watakamatwa kwa uhujumu uchumi, yule jamaa kafungwa 20ears kwa kupatikana na maini ya swala tu.Hiyo ngozi ya chui ipo wapi kumbe na wasomi ni washikina?