Mbutaa!!!Upo wa kumwaga ila kwa wale wenye mialiko tu.
Na ile bakora yake inayopigwa polish kila wakati. Mzee alikuwa na leso nyeupe mfukoni kwajili ya kung'arishia bakora yake. Alikuwa mtanashati kweli kweli.Huyu mdingi alikuwaga na ofisi yake pale maeneo ya NAAZ HOTEL,nilikuwa namuonaga kama chizi maarifa Fulani.
Msimamo dhidi ya kifo?Mzee namkubali Sanaa,nimebahatika kufanya kazi na mwanae Ndashukaa Munuo(miliki wa good earth tours and safari)Arusha,Dingi alikuwa na misimamo sana huyu
Anazikwa na nyara ya serikali1. Atazikwa na ngozi bila jeneza na amesema atazikwa na ngozi ya Chui
Bwashee ww utaendaKwahiyo hata mwakilishi wa Chadema hatakuwepo kwenye mazishi?
Atakuepo wa CcmKwahiyo hata mwakilishi wa Chadema hatakuwepo kwenye mazishi?
Mburaa monoko chaa kiruuu.Mbutaa!!!
Mkuu kwenye imani ya dini ni kwamba kuna hukumu baada ya kifo,binadamu anatakiwa aishi katika misingi aliyoiamrisha Mungu,kumbuka nimesema kwenye IMANI ya kidini,kama wewe huna imani hiyo siwezi kukubadilisha,endelea kuamini unachokiamini.Matendo yako yatakusaidia wapi?
Endelea kuamini unachokiamini nami niendelee kuamini ninachokiamini.Matendo yanakusaidia Nini wakati ukishakufa your deadbody unconscious
Huyu mzee nyumbani kwake Moshi alikuwa ameweka bango kabisa limeandikwa hayo majina, enzi hizo nikiwa kijana mshambamshamba kama Mzee baba Magu... kutoka kijijjni nilikuwa nafika hapo nabaki nashangaa tu jamaa linaitwa LORD? Wachagga mna mambo!!Huyu mdingi alikuwaga na ofisi yake pale maeneo ya NAAZ HOTEL,nilikuwa namuonaga kama chizi maarifa Fulani.
Mama ako ndo atakuwepo kuwakilisha malaya wote waliozaa mwaka uliozaliwaKwahiyo hata mwakilishi wa Chadema hatakuwepo kwenye mazishi?
Acha ubeberu bhn siku ya mwisho ipi?tusitishane mkuu hamna lolote uongo wa Mzungu tu huoHayo ni yake bwana Munuo siku ya ufufuo ndiyo atajua hakujua kuna msemo ni heri uamini kuna Mungu halafu usimkute kuliko kuamini hakuna Mungu halafu uje ukutane naye hapo ndipo patakuwa kilio na kusaga meno
Sawa mkuuAcha ubeberu bhn siku ya mwisho ipi?tusitishane mkuu hamna lolote uongo wa Mzungu tu huo
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app