Masharti ya mazishi ya Wakili Munuo

Masharti ya mazishi ya Wakili Munuo

Hiyo tafsiri yako ya imani kwangu ni kinyume kwa mujibu wa maandiko matakatifu (Biblia) tuisome hapa

EBR. :11:1
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana

Nimekuthibitishia kwa mujibu wa biblia hapo awali labda kama hukuelewa ila kwa mujibu wa biblia kuna ufufuo Kristo Yesu Bwana na mwokozi wetu atakaporudi tena kwa sisi tulio na imani kwake hatuna shaka juu ya hilo
Biblia ina contradictions nyingi sana, hivyo si authority.

Chochote kinachotarajiwa, hakina hakika,ndiyo maana kinatarajiwa.

Kutarajia ni kuwa na matumaini kuhusu kitu ambacho hakina hakika.
 
Mjoli umehadimika sana, sikuoni jukwaani kabisa!
Hayo ni yake bwana Munuo siku ya ufufuo ndiyo atajua hakujua kuna msemo ni heri uamini kuna Mungu halafu usimkute kuliko kuamini hakuna Mungu halafu uje ukutane naye hapo ndipo patakuwa kilio na kusaga meno
 
Huyu wakoloni hawakufanikiwa kum brain wash.
Alisoma elimu yao
Aliishi Kama wao
Alikula Kama wao
Lugha aliyotumia mahakamani Ni ya wazungu
Alivaa Kama wao na hata nyumba yake Ni ya kizungu na vyoo vya kuflush vya kizungu.
Leo hii anajifanya mmeru.
 
Wakuu habari za sahizi.mwenye historia ya huyu mzee atupatie!why aliazisha Bantu union?malengo yake yalikuwa Nini na ilikuwa Ina deal na Nini?
 
Ngoja akakutane na majabari wenzio huko kaburini atajua hajui
Nilifanikiwa kuongea nae sana hasa mambo ya dini. hakuyakubali kabisaaaa.....Yeye alikuwa akisisitiza kila jamii ina nabii wake.
Aliamini kuwa "Yeye alikuwa Nabii kwa Wabantu..
 
Mkuu kwenye imani ya dini ni kwamba kuna hukumu baada ya kifo,binadamu anatakiwa aishi katika misingi aliyoiamrisha Mungu,kumbuka nimesema kwenye IMANI ya kidini,kama wewe huna imani hiyo siwezi kukubadilisha,endelea kuamini unachokiamini.

Mkuu Kwenye comment yako ya juu hukusema kama umebase kwenye imani ya kidini. Basi sawa.
 
MASHARTI YA MAZISHI YA BW. NICHOLAUS IMBIANDUMI NDAASHUKA MUNUO @ _Lord MUNUO!!!

LORD MUNUO, Wakili maarufu wa Arusha, ametamgulia mbele za haki.

MASHARTI YAKE:

1. Atazikwa na ngozi bila jeneza na amesema atazikwa na ngozi ya Chui
2. Mwili wake utafungwa na masago ya migomba
3. Anazikwa mwenye zizi la ng'ombe ambalo lipo maji ya chai ambako alikuwa anafuga mifugo yake
4. Kaburi lake litawekwa Kinyesi cha ngombe tu bila udongo
5. Hakuna kuomboleza
6. Walioalikwa tu ndio watakaohudhuria mazishi kwa maana ya wanafamilia tu
7. Anazikwa kimila na familia yake na hakuna kanisa au msikiti uloalikwa
8. Jina lake ni Nicholas Imbiandumi Ndaashuka Munuo ila alienda kuapa mahakamani akajibadolisha jina akaitwa Lord Ng'uni Imbiandumi Ndaashuka Munuo. Ng'uni ni kijiji alichozaliwa
9. Ng'uni ndiko makao makuu ya Bantu Union ambako yeye ndiuo founder wake alikuwa na president wake

Mengine naendelea kuyafuatilia kuna masharti inasemekana 100 yameandikwa kisheria
 
Anaweza kuwa alikuwa na percentage fulani ya UCHIZI hivyo watu wake wachukue nafasi kujiridhisha na hatua za kuchukua.

Yeye pamoja na kuwa Wakili asiwekee watu masharti ya nini cha kufanya juu yake kwani ameshakufa, otherwise kama anadhani alikuwa super intelligent basi angesubiri AJIZIKE mwenyewe!

Asiwe kama Reginald Mengi ambaye naye aliweka sharti la mtu akishinda kesi dhidi ya wosia wake basi alipwe Tshs.1,000/= wakati akijua hata legal papers za kutolea hiyo judgment ni worth zaidi ya hiyo Tshs.1000!

WASIPANGIE WATU CHA KUFANYA!

Muafrika akiacha wosia wa nini kifanyike pindi akifariki anaonekana chizi. Mzungu akiacha wosia na kuachia mali zake paka wake na kuzikwa na familia yake tu anaonekana kaelimika. Miafrika bana!
 
Yaani tuseme ikitokea Mungu akaamua kuwa wote waliowahi kutangulia mbele ya haki wakiwa wanatambua uwepo wake, awachukue na kuwapeleka Paradiso, inabidi huyu awe mmoja wa wale ambao atawabakiza pale pale walipo bila kuwagusa, si ndiyo?
Kwanini Mkuu?? Dini haitoshi kuwa tiketi ya kumpeleka mtu Paradiso bali matendo yake ya hapa Duniani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi nilifikiria kama wewe.
Nikajua pengine wazikaji wasizidi 10
Hata hivyo Mkuu. Kwenye ratiba ya mazishi kwa pale chini tena kwa kalamu nyekundu pameandikwa hivi: "TAFADHALI ZINGATIA UMBALI NA UVAAJI WA BARAKOA" kwamaana nyingine kuna idadi maalum ya waombolezaji itakayohitajika.
 
MASHARTI YA MAZISHI YA BW. NICHOLAUS IMBIANDUMI NDAASHUKA MUNUO @ Lord MUNUO!!!

LORD MUNUO, Wakili maarufu wa Arusha, ametamgulia mbele za haki.

MASHARTI YAKE:

1. Atazikwa na ngozi bila jeneza na amesema atazikwa na ngozi ya Chui
2. Mwili wake utafungwa na masago ya migomba
3. Anazikwa mwenye zizi la ng'ombe ambalo lipo maji ya chai ambako alikuwa anafuga mifugo yake
4. Kaburi lake litawekwa Kinyesi cha ngombe tu bila udongo
5. Hakuna kuomboleza
6. Walioalikwa tu ndio watakaohudhuria mazishi kwa maana ya wanafamilia tu
7. Anazikwa kimila na familia yake na hakuna kanisa au msikiti uloalikwa
8. Jina lake ni Nicholas Imbiandumi Ndaashuka Munuo ila alienda kuapa mahakamani akajibadolisha jina akaitwa Lord Ng'uni Imbiandumi Ndaashuka Munuo. Ng'uni ni kijiji alichozaliwa
9. Ng'uni ndiko makao makuu ya Bantu Union ambako yeye ndiuo founder wake alikuwa na president wake

Mengine naendelea kuyafuatilia kuna masharti inasemekana 100 yameandikwa kisheria
Safi sana, hakuna kuendekeza tamaduni za watesi wa mababu zetu (wazungu na waarabu), washenzi, watese mababu zetu halafu bado tukumbatie imani zao?
 
Hayo ni yake bwana Munuo siku ya ufufuo ndiyo atajua hakujua kuna msemo ni heri uamini kuna Mungu halafu usimkute kuliko kuamini hakuna Mungu halafu uje ukutane naye hapo ndipo patakuwa kilio na kusaga meno
Kwahiyo yeye kufanya hivyo ndio ina maana haamini juu ya uwepo wa Mungu? Kwahiyo Mungu ni yule wa wazungu na waarabu tu? Aiseee, watu mnajua kuchotwa akili
 
Back
Top Bottom