Hawana akili hao sijui huwa wanafikilia kwa kutumia niniMbona Mandela na Nyerere ndio walikua wanaomba duniani kuwapiga vikwazo Afrika Kusini na S.Rhodesia? Ni kitu cha kawaida kuomba intervention ya Nchi washirika hata Burundi wakivurugana au Rwanda tunaona kina Mkapa wanaenda kusuluhisha unless haujui maana ya diplomasia