Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
 
Mbowe amekosea timing......huu sio muda wa Siasa za matusi na zilizokosa adabu. Cdm wasingatie sheria hakuna aliye juu ya sheria.

Never underestimate woman...she is iron lady in polite face. Siku Mia moja tu alibadili mfumo mzima wa mtawala mwenzake! She is who she is....watahitaji huruma sana ya mataifa ya nje. Watakuja,watasema,wataongea mwisho wataondoka.
utumbo huu umejisifu umeandikaa2 kweli1 vichwa vya panzi ni kijani hata damu ni kijani
 
Makamu wetu wa rais atakapo kwenda marekani akawashauri na pia kuwapa maelekezo kina Joe biden ya namna bora ya kuwaongoza wamarekani!
Dr. JPM (may your precious soul rest in eternal peace and power, amen 🙏) how we miss you!
Huyo unaye mmisi ndiyo maana amededi kwa kukosa maarifa ya namna ya kuishi.

Sasa hivi keshakutana na Gaddafi & Sadam huko jehanum wanakipata cha moto - huku wakimsimulia shujaa wako cha moto walichopata kutoka kwa Wamarekani na ambacho Samia atakipata kutoka kwa Wamarekani hao hao kama hatabadilika!
 
Kwa ujumla Hali ya kisiasa Tanzania,Haina tofauti na Afghanistan. UN waingie TU kunusuru wanasiasa. CDM wamekuwa kama dikidiki kwenye nchi Yao.

waingilie kwan nchi yao? tulia dogo ndo kwanza hata hajaaanza kupigwa shoti
 
Mbowe au serikali kupitia poliCCM? Mbowe has always been consistent katika kufanya shughuli zake za kisiasa..


Mmmh, haya ni yako. Sina hakika kama unaweza kuonesha hayo matusi...

By the way, usichanganye lugha ya siasa na matusi mnayotukanana huko mtaani kwenu..!


She is absolutely nothing. She is not an "Iron lady" rather she's a dust of soil which can be dissolved into water and turn it to mud anytime..!


Are you serious? What has changed since the departure of the deceased..? Everything is almost the same if not worse. Remember she's just 4 months in the office and she already looks tired and weared and she has nothing in hand to show..!!

Unaonesha kila dalili ya kujifariji ktk nafsi yako kwa HAKUNA. Without the international community, Tanzania can't stand alone..

So, what should we do as Tanzanians?

Simple. Let's comply with our Constitution, laws and orders. We have also to abide with international community regulations in which Tanzania is a signatory...

NB: HAKI HUINUA TAIFA. Pasipo na HAKI hakuna AMANI. HAKI ndiyo msingi wa HAKI. Ukiziweka haki za raia pembeni, utapigiwa kelele za ndani na za nje mpaka utakoma...!

Unataka mama yako akome siyo??
"She is already 4 months in the office and looks tired and weared"

Ndio maana naamini huyu mama come 2025 lazima aiachie hii nchi, nahisi anaomba Mungu muda wake uishe haraka, yanayomtokea eg. Mbowe na ugaidi yanamchosha sana akili.
 
Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani.

Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kufuatia mkutano wake na Rais Samia na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa hapo jana.

Waziri huyo alisema miongoni mwa mambo aliyozungumza na Rais Samia ni hofu ya Marekani kwenye utaratibu uliotumika kumkamata na kumshitaki Mbowe, huku akiomba Serikali ifuate misingi ya haki na sheria katika kesi hiyo.

“Ni muhimu kabisa kwamba hali hii itatuliwe kwa njia itakayofuata sheria kwa uharaka na uwazi. Hiyo ni muhimu katika kukuza nguvu ya demokrasia nchini Tanzania,” alisema.


Nuland alisema ana matumaini kuwa suala hilo litapatiwa ufumbuzi kwa majadiliano baina ya pande zote mbili, baada ya wote kuonyesha utayari wa kukutana na kulizungumza.

“Kwa mtazamo wangu pande zote mbili ni wazalendo na wana malengo mema, kwa hiyo ni vyema wakatumia nafasi hii ya utayari walionao kupata ufumbuzi wa kidemokrasia,” aliongeza.

Waziri huyo pia amemuomba Rais Samia kujenga kasi ya hatua zilizochukuliwa wakati wa siku za kwanza za urais
wake ambako alijitahidi kuondoa vizuizi kwa vyombo vya habari na kutangaza mazungumzo makubwa na asasi za kiraia.

Pia alimsihi Rais Samia, kuhakikisha ulinzi wa haki za binadamu na raia wote watendewe haki chini ya sheria, bila kujali ushirika wao kisiasa.

“Wakati anaanza na matamanio makubwa kidemokrasia na wapinzani pia walionyesha utayari kumuunga mkono, hatua nzuri sana zilishachukuliwa mwanzoni,” alisema.

Naye Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Balozi, Liberata Mulamula alisema Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana.

Chanzo: MWANANCHI, 5 AUGUST 2021


My take:
Sarakasi za wahafidhina wanaomshinikiza Samia ndani ya CCM zinaelekea ukingoni. Soon
Hicho ni kipimo kwa Miss Utalii, je atauza Uhuru wa Mahakama kwa kauli ya huyo Mmarekani ambaye huko kwao uhuru wa kuishi kwa mtu mweusi haupo bali muda wowote wanatandikwa risasi
 
Hicho ni kipimo kwa Miss Utalii, je atauza Uhuru wa Mahakama kwa kauli ya huyo Mmarekani ambaye huko kwao uhuru wa kuishi kwa mtu mweusi haupo bali muda wowote wanatandikwa risasi
Nani kwakwambia mahakama za Tanzania zipo huru chini ya katiba mbovu kama hii?
 
CCM wahuni...hii hata mtoto mdogo anajua hii si kesi bali ni kujaribu kuua hoja ya katiba mpya - ambayo haitakaa ife
 
Mbowe amekosea timing......huu sio muda wa Siasa za matusi na zilizokosa adabu. Cdm wasingatie sheria hakuna aliye juu ya sheria.

Never underestimate woman...she is iron lady in polite face. Siku Mia moja tu alibadili mfumo mzima wa mtawala mwenzake! She is who she is....watahitaji huruma sana ya mataifa ya nje. Watakuja,watasema,wataongea mwisho wataondoka.
Kwamba ukidai katiba mpya umewatukana ccm kweli kwahiyo mtu sahihi kwenu niyule ambaye anatamani ccm iendelee kutawala milele na milele
 
Mambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Tanzania is a sovereign coutry.
ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa wakitegemea Viongozi wetu wataogopa!! thubutu!!!! kamwe tusivumilie tabia hii ya kizandiki!!! labda wakafanye siasa zao Burundi lkn sio Tz..
Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.
Demokrasia sio kuvunja amani.
Kwani hii nchi niya baba yako?
 
Marekani ndiyo nchi pekee duniani iliiyojitosa kutokomeza UGAIDI duniani, ilifanya hivyo kumtokomeza Osama na genge lake, IS na vikundi vingi vingi tu vya ugaidi duniani.

Sasa juzi wamesikia kuna GAIDI mwingine kagundulika hapa hapa Tanzania, sasa kwa kuwa Marekani na Tanzania ni nchi zenye uhusiano mkubwa tangu enzi za Mwalimu na Rais wao Keneddy - wameona ni vema waje kuangalia huyu Gaidi mpya wa East Africa ni nani..ili basi ikiwezekana watoe msaada wa FBI kuusaka mtandao wake wote popote ulipo duniani.

Kwa hiyo ndugu zangu Marekeni ipo kufuatilia UGAIDI ulioibuka Tanzania... stay turned....
Hizo zote ni kelele tu muda ndio mwamuzi pale mtakapo takiwa mthibitishe hekaheka zitaanzia hapo mkojo mavi yataazia hapo kuwabana na ushahidi wa kutunga ndio kabisaa nyumba inaenda kuanguka subiri uone.
 
Hakuna liishilo milele,mipango ya mwanadamu siku zote hufeli pale anapojipangia ya mbeleni bila kujua atafika huko au la?jamaa yenu kwa kukataa katiba mpya,minya tesa wapinzani,haribu uchaguzi serikali za mitaa,piga ua wapinzani,fukuza mawakala wa vyama pinzani uchaguzi mkuu 2020,akidhani akiwa na bunge la ccm watupu litampitisha atawale milele wapiiiiiiii sote tunajua yaliyomfika.Huyu nae anaeupiga mwingi anapita mle mle kwa kushupaza shingo yetu macho.
 
Huyo unaye mmisi ndiyo maana amededi kwa kukosa maarifa ya namna ya kuishi.

Sasa hivi keshakutana na Gaddafi & Sadam huko jehanum wanakipata cha moto - huku wakimsimulia shujaa wako cha moto walichopata kutoka kwa Wamarekani na ambacho Samia atakipata kutoka kwa Wamarekani hao hao kama hatabadilika!
Hiyo ya jehanamu unaijua ww! Mimi na wengine wengi tumemuombea shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM roho yake ipumzike kwenye amani ya milele, ingawa yeye mwenyewe kwa uchapakazi wake sidhani kama atapumzika, alishaombaga maombi ya kuwaongoza maraika wema, yy ni muumini wa hapa kazi tu🤔!
Wamarekani naona unawahusudu sana i see! Kwangu mimi hawaninyimi usingizi😜!
 
Naona mabalozi wa nchi za Magharibi wamempuuza sana yule mama wa foreign affairs (Mulamula) kwa mkwara wake wa kishamba alioutoa tarehe 20 August (kushoto hapo chini kwenye screenshot).
Jana tarehe 30 August, mabalozi hao walitinga timu mahakamani kama kawa kama dawa (kulia hapo chini kwene screenshot).

Samia kitamnukia siku si nyingi asiporekebisha hii hali. Anaweza kuwa the female Mugabe na Tanzania ikawa the new Zimbabwe soon.
Watanzania tusikubali hata kidogo tufikishwe huko na hawa wakoloni weusi (serekali dhalimu ya CCM) wasiojali mustakabali wa taifa letu.

1630389052908.png
 
Jinsi Samia anavyozidi kujiweka mbali na upinzani hususan Chadema, ndio hali yake na serikali yake inazidi kuwa mbaya kwa jumuia ya kimataifa.
Na sukuma gang wanapitia hapo hapo kujifanya chadema.
 
Hapa Machadema yanakenua meno ila akisema Zitto yamuita mnafiki
 
Hapa Machadema yanakenua meno ila akisema Zitto yamuita mnafiki
Nani kamtuma huyo boya mwenzio mapambano yanaendelea mpaka kieleweke siasa za hoja ccm ilishachemka tunajua na sisi tutapambana na mahakama na polisi wanaotumika
 
Back
Top Bottom