Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Watu wana fall in love na avatars na uandishi wa watu humu ndani
Na Wengine Tunafall In Love Na Majina Tu, Yaani Ukiona Jina Unapata Picha Ya Mwenye Jina Kama Hilo Anayekuzuzua Lakini Ameshabebwa #R***C**3
 
mie nampendaga Mshana Jr tu! yan nakufa naozaga nkisoma post zake! mweee...japo mie new humu ila daah nampendaga
Ila ndo ivooo.
Keshawahiwa na anaependana nae kiukweee...
[emoji12]
 
[emoji23][emoji23]Haha lolz....like seriously...i have never approved such kinda relationships...like how do you really fall for someone you don't even know...
 
[emoji23][emoji23]Haha lolz....like seriously...i have never approved such kinda relationships...like how do you really fall for someone you don't even know...
Kama ambavyo una believe in a super natural being that you have never seen
 
Aisee ni balaa, maana mi nilikuwa navutiwa na avatar tu. Siku katika pita pita zangu zile avatar nikaziona saluni, nilichoka! Nikaona isiwe tabu, nikawa nafanya kubahatisha labda ntampata naye mtaka. Siku nikazama tena kwa mtoto ana id nzuri na avatar nzuri ajabu enhee mwanaume nikajipinda hadi akatoa namba tukahamia wasapp...ndo shida ikaanzia hapo. Hataki kuntumia pic wala kuapload kwenye profile yake...wakati mi ananiambia nice capture u are so handsome. Kumbe demu alivyoniona akawa hana confidence, siku akaja kuweka picha kwenye profile yake... nilivyomuuliza ni wewe, akanijibu ndio! Hapo hapo nikafuta namba, sijarudia tena huo mchezo...
 
Haaa, hapana, yuko Tegeta Ununio, karibu na Hotel ya Bahari Beach... nilimkuta mtandao wa Badoo... amekongoroka huyo, macho mekunduuu.. yaani maisha yamempiga, ni kachooka haswa, ni zaidi ya slut, hereni masikio hadi yanataka kuanguka, pua zimetobolewa hadi basi, macho na uso, kapauka, macho hadi yamekuwa kama paka.. kidogo tu nikimbie.. nilijikaza na nguvu ninazo za uhakika mascular with 6.6m.. ila nililegea.. wee.!!

Ila aliniambia kwao Tanga... wee acha, aliniacha hoi alivyoniambia yeye mara nyingi anatembea ucku, mchana hatokagi...!! oohh
Umenifanya nicheke
Lakini ndo ukome
 
Kuna kifaa kimoja hiko nilikiomba date watsap kwa group ya MMU mwaka jana, ana pozi huyooo! Nikaja kumbumburua anitumie pics zake, akakomaa na zangu kwanza nikamtumia. Wacha nisifiwe, wakat mi sura yangu naijua mwenyewe, akawa anasita kunitumia, ile kumkomalia akaituma, dooooooh! Sura ka anapiga mluzi, halaf anajikuta ana pooooozi mwenyewe. Huwa anatuma tu texts watsap, sina muda wa kujibu
 
Wee..kuna mmoja, nilimfuata, nika drive hadi Tegeta, Dec 2015... picha kibaoo kanitumia... mtoto tako tako ktk picha, kiuno nyigu... wee nilichokikuta, siri yangu.. sisemi ng'oo... nilibakia kumwagizia Amarula nikabaki najichekesha mwanaume... nguvu zote zimeniishia..

Acheni tu... achaaa
Hahahhh naona hutongozi tena PM
 
Haaa, hapana, yuko Tegeta Ununio, karibu na Hotel ya Bahari Beach... nilimkuta mtandao wa Badoo... amekongoroka huyo, macho mekunduuu.. yaani maisha yamempiga, ni kachooka haswa, ni zaidi ya slut, hereni masikio hadi yanataka kuanguka, pua zimetobolewa hadi basi, macho na uso, kapauka, macho hadi yamekuwa kama paka.. kidogo tu nikimbie.. nilijikaza na nguvu ninazo za uhakika mascular with 6.6m.. ila nililegea.. wee.!!

Ila aliniambia kwao Tanga... wee acha, aliniacha hoi alivyoniambia yeye mara nyingi anatembea ucku, mchana hatokagi...!! oohh
Hahahhh sasa mkuu badoo si mtandao wa machangudoa [emoji28][emoji28]
 
Nasema kweli.. nilirudi wakati naendesha naangalia nyuma.. i was scared... yaani..!! Nilijiona mjingaaaaaa... na fala sana.. acha tu.. niliwaza sana, je ningechukua chumba..? Alafu picha totally sio yeye... nguvu ziliniishia..!!
Ahhhahh polee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom