Najuta sana

Mdigokhan

JF-Expert Member
May 2, 2022
843
1,922
Nimeliaaa nimenyamazaaa
Nimekunywa Bia kupunguza mawazo Ila wapi...!!
Nikisema Nilale Nipate Usingizi Hauji...

Iko hivi.... mwaka Jana mwezi wa pili Nimepanga Nyumba moja maeneo ya Hapa Dar, Katika Hiyo Nyumba Mpangaji ni Mimi Peke Yangu... Nyumba Hii imejengwa Kifamilia...

Ila njee ya hio nyumba kubwa Kuna chumba Na seble ila ni ndani ya Geti ndio nimepanga mimi...(Vuta picha utaelewa)

Kipindi nahamia Baba mwenye nyumba aliniambia aliamua kujenga chumba na seble ili atafute mpangaji maana yeye ni mtu wa kusafirisafiri hivyo huwa nyumba inabaki peke yake so kuamua kujenga hivyo ili apate mpangi Ili kidogo kuwe na Usalama...

Na mie ndio mpangaji wa kwanza kubahatika kupanga pale Baada ya kupelekwa na madalali...

Hiyo Nyumba kubwa ni nzuri sana na hata hicho chumba na seble Ni Kizuri sana...

Tangu napanga pale Huyo baba mwenye nyumba Sijawahi kumuona mkewe wala mtoto Japo yeye umri wake umeenda enda hivi nikimkadilia kama miaka 60 mpk 70 Na sikuwahi kumuuliza inshu za familia maana hazinihusu...

Alikuwa akisafiri nabaki peke yangu hata miezi miwili Then namuona wiki kadhaa home then anasepa zake(Huwa ananiaga akisepa)...Sijui kazi yake na sikuwa na haja ya kuuliza maana mimi sio mbea mbea na sikuwahi kuwa na mazoea nae kihivoo..

Sasa Ilipofika mwezi wa 10 mwaka jana Alirudi kutoka huko anakoendaga Ila Alirudi na Binti Mmoja hivi ambae kwa miaka nilivyomtazama kwenye ni 25 mpk 30 nilimkadiria kulingana na Umbo na sura yake...

Yule binti ni mzuri sana nikizungumzia mzuri ni mzuri Haswaa Kama unawajua wazuri basi nae muweke humohumo... Alikaa nae zaidi ya mwezi Na sikuwahi kumuuliza yule mzee kuhusu yule binti kama ni mwanae Au nani yake maana Hayanihusu na wala sijawahi ongea lolote na yule binti zaidi ya salamu Tukiwa tumekutana Mule mule ndani ya geti kiufupi hatukuwa na mazoea...

Ilipofika mwezi wa 12 mwaka jana kwenye tarehe za mwanzoni Yule mzee nilikutana nae Getini asubuhi kipindi nasepa zangu job na aliniaga kuwa nikirudi sitamkuta anasepa zake(Huko anakoendaga sipajui mimi) Nikaitikia kama kawaida fureshi Na huwa hasemi anarudi lini na mimi simuulizi kuwa unarudi lini, Yani yeye kama umeme, Unakatika Ghafla unarudi Ghafla...

Basi Nikasepa zangu mishemishe mpk mida ya sa 10 Nikawa nimerudi Home, Nikafanya shughuli zangu za kila ninaporudi home then nikawasha Ps4 Yangu nikawa nacheza(Huwa napenda sana kucheza game na kucheki movie maana Sina Kazi nyingi Nikiingia ndani)Sinaga marafiki mtaani kabisaa, Marafiki zangu ni kazini Tu Na Huwa wananitembelea au kuwatembelea mara moja moja hasa Jumapili kuja/kwenda kucheza Game Na kuumwagilia moyo..(Demu Sikuwa nae cuz nilitoka kuachwa kwasababu mimi nina gubu ETI)

Basi Mida ya sa 11 nikiwa bize na game mlango wangu ukagongwa ila nikahisi sijasikia vizuri kwasababu nilikuwa bize na Gemu langu Ila nilipo pause nikasikia tena Hodi ya kugongwa mlango, nilistuka maana Kwa miezi yote nilikaa mule ndani mlango wangu haujawahi kugongwa Hodi Hata father hausi awepo hajawahi fanya hivyo, niliingiwa na woga kiasi...

Nikanyanyuka Nikaenda kufungua, nikamkuta yule binti aliekuja na father hause ambae sikuwahi kujua kuwa ni mwanae au demu wake au mtoto wa dada yake Hata jina simjui aisee nilistuka kiasi flani na sababu za kustuka nilijua walisepa wote ile asubuhi nilivyoagwa ila nikawaza labda mzee aliamua kuvunja safari yake hakwenda...

Tulisalimiana na akanieleza shida yake kuwa Anaomba nikamsaidie kuiangalia machine yake ya kufulia nguo maana anaona imesimama haifanyi kazi imezima ghafla. Nikamuuliza kwani mzee Hayupo Akasema amesafiri Kwani hajaniaga? Nikaamua kunyamaza, nikaingia ndani kuvaa Shati langu maana nilikuwa kifua wazi ili niende huko kwenye hio mashine ya kufulia...

N:B KUNA KITU KIMET0KEA JUZI KUSHINDA JANA YANI LE0 SIKU YA 3 NDIO KINAFANYA NIOMBE USHAURI HAPA NAHISI KUZIMIA NA KUFA KUFA...

Naja malizia...

====

Nikavaa shati langu nikatoka Tukaelekea Huko iliko hiyo mashine Yakufulia, Kiufupi Hata Sikuwa Najua lolote kuhusu Hiyo mashine na wala sikuwahi itumia kabisaa ila nilienda kwasababu mimi ni mwanaume tu...

Kwa mara ya kwanza niliingia kwenye ile nyumba kubwa, Aisee Ndani Kuzuri sana, vitu vya Thamani sana, Ile LG ukutani sijui Nchi ngapi, Kiufipi mzee alikuwa vizuri ndani, Kwa ile siting room Ilivyokuwa Nzuri kwa kijana yoyote Yule Ni lazima angetamani pawe kwake, Basi Akanipelekea mpk kwenye chumba cha kufulia Ila Chaajabu nikakuta mashine inaunguruma fresh tu hadi yeye akashangaa!! Akaanza kuchekacheka Kikike kike na aibu kwa mbali, Sikuwa na la kupotezea Nikatoka njee, Alinishukuru kwakukujali wito wake japo Tulikuta kila kitu kimekaa sawa chenyewe...

Nikiwa naelekea kwenye mlango wangu aliniita Ikabidi nisimame na kumgeukia Alikuja nilipo(Hapa ndio mwanzo wa tatizo najuta kusimama)

Aliniambia Hana Rafiki hivyo Anahitaji namba yangu ili Kukiwa na tatizo lolote kwa upande wake ama wangu tuwe tunajuzana, sikuwa na choyo nikampatia...

(Naenda kwakufupisha story ili tufikie lengo maana wengine mshaanza ooh Chai Mara Hamtaki ITAENDELEA kila mtu ana Jazba zake humu..)

Tulizoena na kuchat kwa meseji sana Ila kitu kimoja tu toka kwake nikimuuliza Yule father hausi ni nani yako huwa hanipi majibu ya kueleweka yaani kiufupi Haniambii kama ni baba ake au bwana ake hasemi anarukaruka tu...

Tulizoeana ndani ya wiki tu, siku ambayo naijutia Ni siku ambayo aliomba aingie ndani kwangu Ili Acheki na mimi movie, sikuwa na Hiyana nikamuingiza ndani natukawa tunachek movie, Alikuja na kijisketi chepesi Chenye vijimkanda kwenye mabega...

Tulicheki movie Mpaka saa moja huku tukipiga stor nyingi za ucheshi Alikuwa anapenda sana kucheka, alikuwa anauliza mbona hajawahi ona mwanamke Pale kwangu Nikamjibu Sinaga time nao niko bize na life Akauliza nyeg* zangu huwa namaliza wapi?? Mikajibu Huwa naziacha mwilini mwangu humu humu!! Sifichi siku ile nilimtafuna yule binti nilitafuna sana Tena kwa uchu mkali..

Tangu nazaliwa sijawahi gonga pisi kama ile, mali safi, Sauti ya Ruby kama si zuchu akiwa analia Kwenye hichi kifua cha mwanaume wa tanga Tena mdigo wa Mwahako...

Basi Tukawa wapenzi Rasmi Nikawa napikiwa nafuliwa kwenye lile lile limashine la kufulia Nikawa baba mwenye nyumba mdogo... Tunazagamuana popote pale iwe chumbani kwangu, Chumbani kwake, Siting Room kwangu Ama kwake, Kuna siku nilimtafuna uwanjani anapopaki Gari Father Hausi Shahidi ndege angani...

Nikaanzisha Tabia moja nikitaka kutoka job nakimbilia chooni napaka MKONGO ule wa MAFUTA nafunga nalemba, Napanda Gari Sometimes nikiona nachelewa napanda pikipiki mpk Home Nikifika Huwa MKONGO Ushakolea Mwilini Basi namvamia napiga show hata awe Anapika, Kwanza alikuwa anapenda show zangu za kibabe pasinakujua Nampakia mkongo ili kumkoleza...(Mkongo alinipa jamaa angu kazini)

Siku moja aliamua kunifungukia kuwa yule mzee ni Mume wake Tena wa ndoa kabisa alimuoa Huko mkoa X na ndoa yao ni changa kabisaa, pia na yeye kwenye huu mjengo ndio kaletwa Kwa mara ya kwanza Hakuwahi kufika kabla(ila Hakuniambia mzee anafanya kazi gani) Basi Sikuwa na la kufanya maana nishanogewa na mbususu nikasema potelea Kote Chuma Huliwa na kutu...

Siku ya siku mzee Alirudi alipokwenda na ilikuwa mwaka huu mwezi wa kwanza siku ya mwaka mpya Yaani TAREHE 1/1/2023...Kama kawaida yangu mi mzee cool Sikuwa na maneno nae kabisaa Ila nikawa namchukia yule mzee why karudi wakati nishazoea Kutawala mule ndani, Wivu unanijaa inapofika usiku Nawaza Demu wangu analiwa na mume wake muda huu, Nawaza ile mikunjo Ya kiko, mbuzi kagoma, Kifo cha mende na mikao ya ajabu ajabu, Nawaza Ile sauti yake yenye uzuchu ndani yake, Wivu Unanijaa Nakuwa na hasira sana, Kuhusu kutuma txt naogopa Yani Nilikuwa kama Mwijaku sieleweki Nimepoaaaa nimepoaaaa!!! Ila Hayo yote yalikuwa mawazo Yangu mimi sikujua ndani ya zile kuta kunatokea nini kama wazagamuana au laa...

Niliishi kwa tabu sana Hata nikiwa kazini namuwaza yule binti, Nikiri nilimpenda sana Alinisitiri kama vanilla wa kings music Aliniweza jamani...Ikipindi yule mzee yupo basi Hata nikikutana na binti kwenye uwanja wa paking ni salamu tu hata tuwe wawili Hatuongeleshani zaidi ya salamu kwa kuogopa labda mzee ataweza ona mabadiliko Kati Yangu na mke wake...

Ilipofika Tarehe kumi mwezi huu yanii TAREHE 10/2/2023 Mzee alisepa zake ila safari hii sikuagwa kama kawaida yake ila niliona asubuhi akiwa anapaki mabegi kwenye gari lake na mie sikushuhulika nae nikasepa zangu job ila Nilipokuwa j0b iliingia meseji toka kwa binti ""AME0ND0KA YULE MZEE, KULA USHIBE JIONI UNA KAZI YA KUNIT0A Z0TE"" nikamjibu W00W JIANDAE hizi txt ninazo mpk sasa...Aisee niliona masaa ya kazini Hayaendi Nili0na muda umesimama, Akili yangu Iliwaza Nyumbani tu, Akili yangu Iliwaza mbususu ya yule binti, Niliwaza leo nikampe style Gani kale kabinti, Ila Muda si Rafiki Ikafika time ya kutoka job Nikawahi Chooni kama kawaida yangu kupaka MKONGO ili nikifika mambo yawe pambeee...
 
Nimeliaaa nimenyamazaaa
Nimekunywa Bia kupunguza mawaz0 Ila wapi...!!
Nikisema Nilale Nipate Usingizi Hauji...

Ik0 ivi.... mwaka Jana mwezi wa pili Nimepanga Nyumba m0ja maene0 ya Hapa Dar,Katika Hi0 Nyumba Mpangaji ni Mimi Peke Yangu...Nyumba Hii imejengwa Kifamilia...

Ila njee ya hio nyumba kubwa Kuna chumba Na seble ila ni ndani ya Geti ndi0 nimepanga mimi...(Vuta picha utaelewa)

Kipindi nahamia Baba mwenye nyumba aliniambia aliamua kujenga chumba na seble ili atafute mpangaji mana yeye ni mtu wa kusafirisafiri Iv0 Huwa nyumba inabaki peke yake S0 kuamua kujenga iv0 ili apate mpangi Ili kidog0 kuwe na Usalama...

Na mie ndio mpangaji wa kwanza kubahatika kupanga pale Baada ya kupelekwa na madalali...

Hi0 Nyumba kubwa ni nzuri sana na hata hich0 chumba na seble Ni Kizuri sana...

Tangu napanga pale Huy0 baba mwenye nyumba Sijawahi kumuona mkewe wala mt0t0 Jap0 yeye umri wake umeenda enda ivi nikimkadilia kama miaka 60 mpk 70 Na sikuwa kumuuliza inshu za familia mana hazinihusu...

Alikuwa akisafiri nabaki peke yangu hata miezi miwili Then namuona wiki kadhaa h0me then anasepa zake(Huwa ananiga akisepa)...Sijui kazi yake na sikuwa na haja ya kuuliza mana mimi sio mbea mbea na sikuwahi kuwa na maz0ea nae kiiv00..

Sasa Ilipofika mwezi wa 10 mwaka jana Alirudi kutoka huk0 anak0endaga Ila Alirudi na Binti Mmoja ivi ambae kwa miaka nilivy0mtazama kwenye ni 25 mpk 30 nilimkadiria kulingana na Umbo na sura yake...

Yule binti ni mzuri sana nikizungumzia mzuri ni mzuri Haswaa Kama unawajua wazuri basi nae muweke hum0hum0...Alikaa nae zaidi ya mwezi Na sikuwahi kumuuliza yule mzee kuhusu yule binti kama ni mwanae Au nani yake mana Hayanihusu na wala sijawahi ongea lolote na yule binti zaidi ya salamu Tukiwa tumekutana Mule mule ndani ya geti kiufupi hatukuwa na maz0ea...

Ilip0fika mwezi wa 12 mwaka jana kwenye tarehe za mwanzoni Yule mzee nilikutana nae Getini asubuhi kipindi nasepa zangu job na aliniaga kuwa nikirudi sitamkuta anasepa zake(Huk0 anak0endaga sipajui mimi) Nikaitikia kama kawaida fureshi Na huwa hasemi anarudi lini na mimi simuulizi kuwa unarudi lini, Yani yeye kama umeme,Unakatika Gafla unarudi Gafla...

Basi Nikasepa zangu mishemishe mpk mida ya sa 10 Nikawa nimerudi Home,Nikafanya shuhuri zangu za kila ninap0rudi home then nikawasha Ps4 Yangu nikawa nacheza(Huwa napenda sana kucheza game na kuchek m0vie Mana Sina Kazi nyingi Nikiingia ndani)Sinaga marafiki mtaani kabisaa,Marafiki zangu ni kazini Tu Na Huwa wananitembelea au kuwatembelea mara moja moja hasa jumapili kuja/kwenda kucheza Game Na kuumwagilia moyo..(Demu Sikuwa nae cuz nilitoka kuachwa kwasababu mimi nina gubu ETI)

Basi Mida ya sa 11 nikiwa bize na game mlango wangu ukagongwa ila nikahisi sijasikia vizuri kwasababu nilikuwa bize na Gemu langu Ila nilip0 pause nikasikia tena Hodi ya kugongwa mlango,Nilistuka mana Kwa miezi yote nilikaa mule ndani mlango wangu haujawahi kugongwa Hodi Hata father hausi awep0 hajawahi fanya iv0,niliingiwa na woga kiasi...Nikanyanyuka Nikaenda kufungua,Nikamkuta yule binti aliekuja na father hause ambae sikuwahi kujua kuwa ni mwanae au demu wake au mtoto wa dada ake Hata jina simjui aisee nilistuka kiasi flani na sababu za kustuka nilijua walisepa w0te ile asubuhi nilivy0agwa ila nikawaza labda mzee aliamua kuvunja safari yake hakwenda...

Tulisalimiana na akanieleza shida yake kuwa Ana0mba nikamsaidie kuiangalia machine yake ya kufulia nguo mana Anaona imesimama haifanyi kazi imezima gafla,Nikamuuliza kwani mzee Hayup0 Akasema amesafiri Kwani hajaniaga?Nikaamua kunyamaza,Nikaingia ndani kuvaa Shati langu mana nilikuwa kifua wazi ili niende huk0 kwenye hio mashine ya kufulia...

N:B KUNA KITU KIMET0KEA JUZI KUSHINDA JANA YANI LE0 SIKU YA 3 NDIO KINAFANYA NIOMBE USHAURI HAPA NAHISI KUZIMIA NA KUFA KUFA...

Naja malizia...
Kumekucha
 
Dah
IMG-20230224-WA0035.jpg
 
Back
Top Bottom