Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

kinachonishangaza humu ni kwamba sijui ID ipi ya kiume au ya kike au ya shemale maana humu bwana panashangaza sana ndo maana naogopaga kuchart na mtu kwa sababu unaweza ukafall in love kwa mwanaume mwenzio au popo bawa
Ahahaha hakika umenifurahisha, lkn pia uliyoyasema ni ukweli mtupu, hard to differentiate.
 
ingekua vizuri wakawa wanaelezea pia wanapofurahi kabla hayajaenda wrong

ingekua vizuri wakawa wanaelezea pia wanapofurahi kabla hayajaenda
Mie nilikuwa nafurahia kila siku mpk alipoamua kuhama nyumba kwa kukosa unyumba, kwahiyo nasikitika kukosa chatmate lkn mambo hayakwenda mramba mie, ila natoa wosia mkiwa mnaongea msiamini mno, ukikutana nami mie napenda kufurahia umahiri wa maneno, sina muda wa kukutafuta kugegedana.
 
Mhh ....

Mimi cjaelewa hapa .....ivi huu uzi unahusu nn ...

Msaada pls
 
Maneno tu nimpende? Maneno tu nivutiwe naye? Hata kataswira hakuna jamani Ushimen, haiko namna hiyo!
1472746980963.jpg

Kama haku kuvutia,
Basi nicheki hata mie mkuu,
Nimeona hakuna ubaya nikitupia na kapicha..[emoji5] [emoji5] [emoji5]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kweli kabisa...JF MMU is a world of its own.

Wakati mwingine unakuta kuna couples humu tena kwa hata miaka...lakini hata kukutana hawajahi.

Vituko vya humu bana...full burudani.
Dah.....Halafu Siku ya Siku unagundua ni dume/jike mwenzio [emoji85]
 
haaa we umewahi kukumbana na hiyo kitu ???

Wee..kuna mmoja, nilimfuata, nika drive hadi Tegeta, Dec 2015... picha kibaoo kanitumia... mtoto tako tako ktk picha, kiuno nyigu... wee nilichokikuta, siri yangu.. sisemi ng'oo... nilibakia kumwagizia Amarula nikabaki najichekesha mwanaume... nguvu zote zimeniishia..

Acheni tu... achaaa
 
Wee..kuna mmoja, nilimfuata, nika drive hadi Tegeta, Dec 2015... picha kibaoo kanitumia... mtoto tako tako ktk picha, kiuno nyigu... wee nilichokikuta, siri yangu.. sisemi ng'oo... nilibakia kumwagizia Amarula nikabaki najichekesha mwanaume... nguvu zote zimeniishia..

Acheni tu... achaaa
Tegeta ? Jina lake la ukweli linaanzia na H ?
 
Tegeta ? Jina lake la ukweli linaanzia na H ?

Haaa, hapana, yuko Tegeta Ununio, karibu na Hotel ya Bahari Beach... nilimkuta mtandao wa Badoo... amekongoroka huyo, macho mekunduuu.. yaani maisha yamempiga, ni kachooka haswa, ni zaidi ya slut, hereni masikio hadi yanataka kuanguka, pua zimetobolewa hadi basi, macho na uso, kapauka, macho hadi yamekuwa kama paka.. kidogo tu nikimbie.. nilijikaza na nguvu ninazo za uhakika mascular with 6.6m.. ila nililegea.. wee.!!

Ila aliniambia kwao Tanga... wee acha, aliniacha hoi alivyoniambia yeye mara nyingi anatembea ucku, mchana hatokagi...!! oohh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom