Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

contagious

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
528
344
Jamani, mie nilipata mwenza hapa, nikawa nafurahia mazungumzo baada ya habari, tatizo lilikuja pale nilipokuwa mkweli kwake kwamba kwa hakika hawezi kunila kwasababu nilijua kila nililokuwa nikilisema Kwake halikuwa na ukweli, mie ilikuwa fab time to chill after stress za siku nzima, lakini pia jamani msiwe mnatongoza watu huku, wengine majini, shauri yenu kama hamtaki kusikia.
 
Ahahahaaa...welcome to the club.

Watu huwa wanadondokeana humu bila hata ya kujuana wala kuonana [na unakuta mmoja yuko serious kabisa huku mwingine anafanya kama pastime yake].
 
Bwana wee jf kuna raha yake, unapoteza mawazo kiulaini, ukikamata msukuma wa kukupoza roho kwenye bed na ka whisky kako pembeni basi inakuwa burudani, sasa pale ambapo mtu anakuwa serious ndio anaharibu utaratibu kabisa yaani! Ooh mi nataka kugegedana, hayo mambo yanatakiwa sext nice kama kweli vile mtakutana, kumbe all in vain!!!!
 
Kweli kabisa...JF MMU is a world of its own.

Wakati mwingine unakuta kuna couples humu tena kwa hata miaka...lakini hata kukutana hawajahi.

Vituko vya humu bana...full burudani.
 
Jamani, mie nilipata mwenza hapa, nikawa nafurahia mazungumzo baada ya habari, tatizo lilikuja pale nilipokuwa mkweli kwake kwamba kwa hakika hawezi kunila kwasababu nilijua kila nililokuwa nikilisema Kwake halikuwa na ukweli, mie ilikuwa fab time to chill after stress za siku nzima, lakini pia jamani msiwe mnatongoza watu huku, wengine majini, shauri yenu kama hamtaki kusikia.
Duuuuuuh
Pole yako kumbe ulishobokea bia ukapewa bia mia
Ila wajanja bado tunawandua tuu cfa chumvi nyingi
 
haaa ur such a bad boy NN..

ila inauma kuwa deep Kumbe mwenzio walaaaaa

Ndo maana ni muhimu kutumia akili.

Usianze kuwatangazia watu kuwa wewe na flani ni couple wakati hata hamjuani.

Ila pia kuna wengine wanalika kirahisi mno.

Mnakutana leo..kesho mnakulana halafu eti mnaanza uhusiano.

Baada ya wiki mbili tatu, mnatemana.

What The Fcuk!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom