Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Hapa vipi
1473184644824.jpg
 
kina dada tunawaheshimu sana atiii. ...

naomba tutunziane siri, tukianza kuumbuana hapa hadi MOD hatabaki salama....ohoooo??!!

Endeleeni kama hamna masikio.
 
Bwana wee jf kuna raha yake, unapoteza mawazo kiulaini, ukikamata msukuma wa kukupoza roho kwenye bed na ka whisky kako pembeni basi inakuwa burudani, sasa pale ambapo mtu anakuwa serious ndio anaharibu utaratibu kabisa yaani! Ooh mi nataka kugegedana, hayo mambo yanatakiwa sext nice kama kweli vile mtakutana, kumbe all in vain!!!!
Nyie tudhalauni wasukuma Tu.Mungu anawaona
 
Duuh usirudie kujaribu mapenzi utaitwa siku moja unashangaa ushaliwa watu wengine wana swaggaz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom