Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ni hatari kilo kumi, saivi hata nikimkuta kwenye thread akichangia...na mimi nikitia neno kidogo tu kwenye hiyo hiyo thread anakula kubwa simuoni tena hehehe ee
 
Aisee ni balaa, maana mi nilikuwa navutiwa na avatar tu. Siku katika pita pita zangu zile avatar nikaziona saluni, nilichoka! Nikaona isiwe tabu, nikawa nafanya kubahatisha labda ntampata naye mtaka. Siku nikazama tena kwa mtoto ana id nzuri na avatar nzuri ajabu enhee mwanaume nikajipinda hadi akatoa namba tukahamia wasapp...ndo shida ikaanzia hapo. Hataki kuntumia pic wala kuapload kwenye profile yake...wakati mi ananiambia nice capture u are so handsome. Kumbe demu alivyoniona akawa hana confidence, siku akaja kuweka picha kwenye profile yake... nilivyomuuliza ni wewe, akanijibu ndio! Hapo hapo nikafuta namba, sijarudia tena huo mchezo...
Umenichekesha sana ndugu, na umenikumbusha mbali sana
 
Umenichekesha sana ndugu, na umenikumbusha mbali sana
Yaani niliyokutana nayo hum jf sitasahau, kuna mabinti wanajua kutega humu we acha tu. Siunajua tena marijali tulivyo, kuna koment zngine ukisoma lazima kitu kiende Angola. Sasa ukifukuzia utakayokutanayo inabaki kuwa siri yako hehehe eee
 
Yaani niliyokutana nayo hum jf sitasahau, kuna mabinti wanajua kutega humu we acha tu. Siunajua tena marijali tulivyo, kuna koment zngine ukisoma lazima kitu kiende Angola. Sasa ukifukuzia utakayokutanayo inabaki kuwa siri yako hehehe eee
Mmezid uhuniiii acha yawakute
 
Mmezid uhuniiii acha yawakute
Sio uhuni, unakuta binti analalamika kwenye koment anahamu ya paipu au ana shida na mtoto tu. Hapo unadhani marijali watafanya nn? Mfate pm sasa, ndo utaona varangati lake hehehe eee
 
Kumbe mimi ni mtu mwenye bahati sana...........!
 
Mimi nimeona picha zako si haba upo njema. Ila nyama kidoogo punguza
Mh nyama Na bia siachiii mpaka naingia kaburini by the way sitak hata kupendwa[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom