Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Nani mwanaume asiyependa umbo zuri la mwanamke mweupee..
But one thing is very clear... i never invested anything kwa huyo slut... sbb i met her online na kujuana just 3 weeks ndio nikasema let me meet her uso kwa uso...!!

Nasema, baada ya kumuona, nilimblock kila mawasilano ya simu hadi what's up... sijawahi hata kumtumia sms au kutaka mawasiliano nae... baada ya kumuona tu ilikuwa mwisho..!!

Very terrible..!!
Aiseee I wish nimuone anafananaje huyo dada. Uwii kala block kote. Wanawake weusi kumbe soko lao dogo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Jamani, mie nilipata mwenza hapa, nikawa nafurahia mazungumzo baada ya habari, tatizo lilikuja pale nilipokuwa mkweli kwake kwamba kwa hakika hawezi kunila kwasababu nilijua kila nililokuwa nikilisema Kwake halikuwa na ukweli, mie ilikuwa fab time to chill after stress za siku nzima, lakini pia jamani msiwe mnatongoza watu huku, wengine majini, shauri yenu kama hamtaki kusikia. [emoji12]
kwani wewe ni jini......?
 
Aiseee I wish nimuone anafananaje huyo dada. Uwii kala block kote. Wanawake weusi kumbe soko lao dogo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Ha ha ha ha haaaa..
Huyo ni mweusi, sio sana, ila sasa afya yake mbovu sana, kakongoroka, plus alivyokaa kaa, amekubuhu ktk industry ya kujiuza sana, ukimuona tu unakwepesha macho...!! alafu kaweka hadi makope ya kichina..!! Amekorogeka sana aiseee...!!

But mm demu akiwa mweusi sitaki kabisa.. hata awe vipi, mm mwenyewe mweupee, why nimuone black..? sitaki, ndio moyo wangu unanituma hivyo..!!
 
Sasa si mtatoa mzungu huyo mtoto. Aisee ngoja nijiangalie vzr kwa kioo kama mie mweupe nilete proposal kwako PM
 
Nani mwanaume asiyependa umbo zuri la mwanamke mweupee..
But one thing is very clear... i never invested anything kwa huyo slut... sbb i met her online na kujuana just 3 weeks ndio nikasema let me meet her uso kwa uso...!!

Nasema, baada ya kumuona, nilimblock kila mawasilano ya simu hadi what's up... sijawahi hata kumtumia sms au kutaka mawasiliano nae... baada ya kumuona tu ilikuwa mwisho..!!

Very terrible..!!
Ua very cruel man!
 
Aiseee I wish nimuone anafananaje huyo dada. Uwii kala block kote. Wanawake weusi kumbe soko lao dogo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mie mweusi ninayejipenda kukataliwa na wachache hakunifanye ninunue jiki, akaaaa
 
Ha ha ha ha haaaa..
Huyo ni mweusi, sio sana, ila sasa afya yake mbovu sana, kakongoroka, plus alivyokaa kaa, amekubuhu ktk industry ya kujiuza sana, ukimuona tu unakwepesha macho...!! alafu kaweka hadi makope ya kichina..!! Amekorogeka sana aiseee...!!

But mm demu akiwa mweusi sitaki kabisa.. hata awe vipi, mm mwenyewe mweupee, why nimuone black..? sitaki, ndio moyo wangu unanituma hivyo..!!
Hongera sijataka hata mzungu, wala kutamani na mpk leo hii sijawahi hata kuvua pichu kwa mwanamume mweupe hata mtz mwenye rangi nyeupe so i understand you and feel you 100%.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom