Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

ha ha ha haaa...mkuu we nae wivu sana achagaaa!...nampenda hvyo hvyo hata gamboshi anipeleke!...japo naogopa ila mapenzi matammmmmm na mshana Jr
Nilikuwa nashangaa akin marehemu Mwizikuru Jilala kumuopoa Norah kipindi kile nikadhan mvuto wa ela kumbe mandigo yanawavutia watoto wakalez.
Ngoja nikae pembeni mshana asije niroga
 
kinachonishangaza humu ni kwamba sijui ID ipi ya kiume au ya kike au ya shemale maana humu bwana panashangaza sana ndo maana naogopaga kuchart na mtu kwa sababu unaweza ukafall in love kwa mwanaume mwenzio au popo bawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawaliagi njaa?
Watu mnaanza kuchat ndani ya wiki unalia njaa.
Wiki mapema, njaa inaliliwa baada ya miezi mitano mpk sita kumuaminisha mlegwa ni yeye tu ulikuwa wamsubiri.
 
Wee..kuna mmoja, nilimfuata, nika drive hadi Tegeta, Dec 2015... picha kibaoo kanitumia... mtoto tako tako ktk picha, kiuno nyigu... wee nilichokikuta, siri yangu.. sisemi ng'oo... nilibakia kumwagizia Amarula nikabaki najichekesha mwanaume... nguvu zote zimeniishia..

Acheni tu... achaaa
Hapo ndio nyakati za kupiga ngumi ukuta, yaani hatari, unatamani kulia machozi yanakuwa nayo magumu.
 
Haaa, hapana, yuko Tegeta Ununio, karibu na Hotel ya Bahari Beach... nilimkuta mtandao wa Badoo... amekongoroka huyo, macho mekunduuu.. yaani maisha yamempiga, ni kachooka haswa, ni zaidi ya slut, hereni masikio hadi yanataka kuanguka, pua zimetobolewa hadi basi, macho na uso, kapauka, macho hadi yamekuwa kama paka.. kidogo tu nikimbie.. nilijikaza na nguvu ninazo za uhakika mascular with 6.6m.. ila nililegea.. wee.!!

Ila aliniambia kwao Tanga... wee acha, aliniacha hoi alivyoniambia yeye mara nyingi anatembea ucku, mchana hatokagi...!! oohh
Mi nimesema hapa hii biashara ya kuacha chiu za mtaani mzijuazo mtaokota majini huku mitandaoni, shauri zenu....
 
Haya mambo ya mtandaoni usiamini kabisa aiseee... hadi umuone mtu face to face, na umjue sasa...!! Hatari sana

haaa..
Raha ni usiwe na haraka ya kumjua, coz mkitaka mtajuana tu, don't invest too much kwenye nadharia.
 
Haaa, hapana, yuko Tegeta Ununio, karibu na Hotel ya Bahari Beach... nilimkuta mtandao wa Badoo... amekongoroka huyo, macho mekunduuu.. yaani maisha yamempiga, ni kachooka haswa, ni zaidi ya slut, hereni masikio hadi yanataka kuanguka, pua zimetobolewa hadi basi, macho na uso, kapauka, macho hadi yamekuwa kama paka.. kidogo tu nikimbie.. nilijikaza na nguvu ninazo za uhakika mascular with 6.6m.. ila nililegea.. wee.!!

Ila aliniambia kwao Tanga... wee acha, aliniacha hoi alivyoniambia yeye mara nyingi anatembea ucku, mchana hatokagi...!! oohh
Yaani nimejenga taswira bado kidogo nikimbie na Mimi!
 
Hahaaa polee ulikuwa na big expectations nini
 
Sanaaa sanaaa... kwa mapicha alioweka mitandaoni... wee na umbo sasa.. mtandaoni.. kumbeee...sio yeye.. sio kabisa.!!
Hahaaa it seems unapenda umbo namba 8. Wachache sana wanaguwaga honest with what they are saying and presenting to u.
 
Hahaaa it seems unapenda umbo namba 8. Wachache sana wanaguwaga honest with what they are saying and presenting to u.

Nani mwanaume asiyependa umbo zuri la mwanamke mweupee..
But one thing is very clear... i never invested anything kwa huyo slut... sbb i met her online na kujuana just 3 weeks ndio nikasema let me meet her uso kwa uso...!!

Nasema, baada ya kumuona, nilimblock kila mawasilano ya simu hadi what's up... sijawahi hata kumtumia sms au kutaka mawasiliano nae... baada ya kumuona tu ilikuwa mwisho..!!

Very terrible..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom