Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Umejua nichekesha mpk machozi [emoji28][emoji28]Sanaaa sanaaa... kwa mapicha alioweka mitandaoni... wee na umbo sasa.. mtandaoni.. kumbeee...sio yeye.. sio kabisa.!!
Umejua nichekesha mpk machozi [emoji28][emoji28]Sanaaa sanaaa... kwa mapicha alioweka mitandaoni... wee na umbo sasa.. mtandaoni.. kumbeee...sio yeye.. sio kabisa.!!
Watu tunatofautiana mm mweupe na napenda mwanaume mweusi sijui kwa nini sipendi weupeHa ha ha ha haaaa..
Huyo ni mweusi, sio sana, ila sasa afya yake mbovu sana, kakongoroka, plus alivyokaa kaa, amekubuhu ktk industry ya kujiuza sana, ukimuona tu unakwepesha macho...!! alafu kaweka hadi makope ya kichina..!! Amekorogeka sana aiseee...!!
But mm demu akiwa mweusi sitaki kabisa.. hata awe vipi, mm mwenyewe mweupee, why nimuone black..? sitaki, ndio moyo wangu unanituma hivyo..!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Aisee ni balaa, maana mi nilikuwa navutiwa na avatar tu. Siku katika pita pita zangu zile avatar nikaziona saluni, nilichoka! Nikaona isiwe tabu, nikawa nafanya kubahatisha labda ntampata naye mtaka. Siku nikazama tena kwa mtoto ana id nzuri na avatar nzuri ajabu enhee mwanaume nikajipinda hadi akatoa namba tukahamia wasapp...ndo shida ikaanzia hapo. Hataki kuntumia pic wala kuapload kwenye profile yake...wakati mi ananiambia nice capture u are so handsome. Kumbe demu alivyoniona akawa hana confidence, siku akaja kuweka picha kwenye profile yake... nilivyomuuliza ni wewe, akanijibu ndio! Hapo hapo nikafuta namba, sijarudia tena huo mchezo...
[emoji28][emoji28][emoji28]Kuna kifaa kimoja hiko nilikiomba date watsap kwa group ya MMU mwaka jana, ana pozi huyooo! Nikaja kumbumburua anitumie pics zake, akakomaa na zangu kwanza nikamtumia. Wacha nisifiwe, wakat mi sura yangu naijua mwenyewe, akawa anasita kunitumia, ile kumkomalia akaituma, dooooooh! Sura ka anapiga mluzi, halaf anajikuta ana pooooozi mwenyewe. Huwa anatuma tu texts watsap, sina muda wa kujibu
Watu wana fall in love na avatars na uandishi wa watu humu ndani
Ahhhahh polee
Heaven on Earth, nakutafuta sana, toka enzi za mama B pale coko! mda sana! embu nambie bado uko kule chini university?haaa we umewahi kukumbana na hiyo kitu ???
Hahahhh sasa mkuu badoo si mtandao wa machangudoa [emoji28][emoji28]
Mbona hatuja mtaja mtu bibie [emoji4]Kutajana sasa yaan nyie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kafanyaje... anaweza kuwa ndiyeMaskini dada wa watu [emoji28][emoji28]
Hupendi kolabo?Mshana kuna mtu anakupenda uko kashawai
[emoji28][emoji28] nyie wabaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kafanyaje... anaweza kuwa ndiye
Hahahhh sipendiHupendi kolabo?
Ushawajengea taswira mkuu.Umenena kweli mkuu mimi kuna avatar ninazizimikia humu acha kabisa, avatar ya kasinde, heaven sent na Tzed.
Usiniulize swali la jinsia yangu tafadhali kwani sitakujibu.
Hahaha jinsia yako ina nini?Umenena kweli mkuu mimi kuna avatar ninazizimikia humu acha kabisa, avatar ya kasinde, heaven sent na Tzed.
Usiniulize swali la jinsia yangu tafadhali kwani sitakujibu.
Tutaanza kuogopana humu ndani tunavujisha siri za pm. Kuanzia sasa mimi team ukinipa sisemi[emoji4][emoji28][emoji28] nyie wabaya
Hahaha jinsia yako ina nini?