silasmasha
Senior Member
- Aug 25, 2016
- 155
- 110
Ila kuna pini humu, we acha tu. Lakini ndo hadi ubahatishe. Kuna jamaa yangu alinihamasisha kujiunga jf sababu hiyo. Ana mtoto mkale alimtoa humu humuKumbe mimi ni mtu mwenye bahati sana...........!
Ila kuna pini humu, we acha tu. Lakini ndo hadi ubahatishe. Kuna jamaa yangu alinihamasisha kujiunga jf sababu hiyo. Ana mtoto mkale alimtoa humu humuKumbe mimi ni mtu mwenye bahati sana...........!
Walioko humu ndio hao hao wako mitaani.Ila kuna pini humu, we acha tu. Lakini ndo hadi ubahatishe. Kuna jamaa yangu alinihamasisha kujiunga jf sababu hiyo. Ana mtoto mkale alimtoa humu humu
Na wewe umebahatika humu?Walioko humu ndio hao hao wako mitaani.
Tatizo la humu hawaonekani kwa macho, unaweza ukalamba galasha au mzungu wa nneWalioko humu ndio hao hao wako mitaani.
ahahaahaha!! kuna majina matamu mpaka basi mfano ''...............'' huwa nikiliona nalivutia picha fulani hivi.Na Wengine Tunafall In Love Na Majina Tu, Yaani Ukiona Jina Unapata Picha Ya Mwenye Jina Kama Hilo Anayekuzuzua Lakini Ameshabebwa #R***C**3
Hongera kwa hilo piaMe nimepata Rafiki tuu
kwani nje ya Jf unafall kwa kigezo kipi?Watu wana fall in love na avatars na uandishi wa watu humu ndani
Hapana mkuu, nawapa moyo vijana.Na wewe umebahatika humu?
Hatari Mkuuahahaahaha!! kuna majina matamu mpaka basi mfano ''...............'' huwa nikiliona nalivutia picha fulani hivi.
Hakika full burudaniKweli kabisa...JF MMU is a world of its own.
Wakati mwingine unakuta kuna couples humu tena kwa hata miaka...lakini hata kukutana hawajahi.
Vituko vya humu bana...full burudani.
haaaaa siamini ujue.Heaven on Earth, nakutafuta sana, toka enzi za mama B pale coko! mda sana! embu nambie bado uko kule chini university?
nitaje mwingine zaidi yako [emoji23]We hujataja ujuwe...
Apo sasa nakua am crushing...but not falling...si unajua....ya crush does not even last....Kama ambavyo una believe in a super natural being that you have never seen
Afu umejuaje kwanza???[emoji33][emoji33]nshawai kwambia nini???Kama ambavyo una believe in a super natural being that you have never seen
There is always a rise before a fall and there always an impact before a crash....Apo sasa nakua am crushing...but not falling...si unajua....ya crush does not even last....