Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

Dogo Hana nguvu katepeta kabisa, miaka ikapita dogo alikuja kuniambia pale alikuwa anasikia Raha Tu pale chini, shenzi kabisa.
😅😅 Itakuwa dada wa kazi alikuwa na njaa sana hivyo hakujali dogo ana uzoefu gani kwenye mapigo.
 
Pole sana, inaonekana wote mlikuwa wageni?
Yes, tulitoana bikra. Mwanamke hakuwa amewahi na mie sikuwa nimewahi ilikuwa shughuli mzee 😅😅.. ilichukua kama mala tatu hivi kurudiaa mchezo ndio nikaweza miaka ya 2000 huko
 
Yes, tulitoana bikra. Mwanamke hakuwa amewahi na mie sikuwa nimewahi ilikuwa shughuli mzee 😅😅.. ilichukua kama mala tatu hivi kurudiaa mchezo ndio nikaweza miaka ya 2000 huko
Hapo kweli ilikuwa kazi ngumu.. Maana kila mtu alikuwa hajui hatua inayofuata ni nini?
 
  • Kicheko
Reactions: Oho
Siamini kama siku hizi mimi ni old-boy!Mtoto kamaliza "chuo"/madrasa.
Kila siku zinavyozidi kusonga kuna mambo unajiona ulikuwa unazingua sana miaka mpaka unajilaumu.

Mi kuna demu mpaka leo alinikasirikia kisa nilishindwa kumla mzigo miaka hiyo ushamba umetawala.
 
Zamani ilikuwa raha, mnakutana wote hamjui mambo ila siku hizi wote wakutana kama mapepooo 😂😂😂 wameishakuwa magwijiii
Yeah uongo ulikuwa na nafasi ndogo sana, na ikishindikana mnapanga siku nyingine ili mje mjaribu tena kama mtafanikiwa. 😅😅
 
  • Kicheko
Reactions: Oho
Mimi nikuwa najua kukojoa ni huu mkojo wa kawaida hivyo nilikunywa maji ya kutosha, sinta sahau yale matusi...nilimkojolea mpaka akashangaa😂😂😂
 
Siku hizi mambo yamebadirika sanaaa
Siku hizi vitoto vidogo vinavutishwa bhange ndo vinatolewa bikra, bikra lazima itoke siku hiyo hiyo 😏😏
 
  • Kicheko
Reactions: Oho
Mimi nikuwa najua kukojoa ni huu mkojo wa kawaida hivyo nilikunywa maji ya kutosha, sinta sahau yale matusi...nilimkojolea mpaka akashangaa😂😂😂
🤣🤣🤣🤣. Ila millennials tuna mafaili yanachekesha sana aise. Yani ukikumbuka enzi zako unajikuta unacheka kwa sauti ya juu sana
 
Siku hizi vitoto vidogo vinavutishwa bhange ndo vinatolewa bikra, bikra lazima itoke siku hiyo hiyo 😏😏
😂😂😂😂 na usipoitoa siku hiyo hiyo watu wanaweza kukusaidia kuitoa
 
Back
Top Bottom