Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 358
- 708
Sio kila mahusino lazima yafikie ndoa
Napokea simu kutoka kwa rafiki yangu ,ananiuliza umemfanya nini shem? Nikauliza kwani kunanini akaniuliza uko wapi? Nikamwambia niko maeneo ya chuo , akanimbia nakuja tuongee.
Tukiwa shule ya Alevel, wakati ndio ujana umeanza kubalee na unatamani sasa uanza angalau mahusiano
Kuna mwalimu alikuja wafield, mwalimu alikuwa yuko vizuri sana katika somo la hesabu , alitufundisha vizuri sana na kututia moyo na kutuhasa tusome kwa bidii na kutuhasa kutokuangaika na mapenzi
Yule mwalimu nilitokea kumwelewa sana, alitupa mahope akatwambia tukifika chuo tutakutana na warembo amboa hatijawai kukutana nao kwa hiyo tusipoteze fursa ya kusoma kwa kuangaika na mapenzi
Mafundishi yale laniingia kweli kweli nikakazana kusoma ili siku nikifika chuo nitafute mrembo wangu
Mungu sio athumani , nilichaguliwa kwenda chuo kikuu kilichopo Dar es salaam, na bahati nzuri chuo hicho nilipangiwa na rafiki yangu ambaye tumesoma wote advance
Shauku yangu ya kupata mwenza chuoni , haukuzaa matunda kwani maisha hayakuwa kama tulivyo ambiwa.
Miaka ikasogea rafiki yangu alikuwa wakwanza kupata rafiki wa kike na kule kupata rafiki wakike kulipunguza urafiki wetu.
Sio kwamba tulikuwa mbali hapana tulikuwa chumba kimoja kwa miaka yote na tulikuwa tunapata chakula pamoja kwa kipindi chote tukiwa chuoni
Changamoto ikaanza kuonekana si unajua wanapokula wapenzi kuna mambo yanakuwa mengi
Kutokana na mwenzangu kuwa na mpenzi wake na mimi niko single kukatengeneza ka wazo la kutafuta mwenzangu
Licha ya jitihada za rafimi yangu kunitafutia mpenzi , kutokuzaa matunda licha ya kuwa marafiki nilikuwa na standard zangu linapokuja swala la mahusiano
Mahusiano kwangu ayakuwa tu kwa ajili ya leo na kesho, yalikuwa ni kwa ajili ya maisha, kwani binafsi kuna mambo ambayo sikuwaikuyapenda tangu nikiwa mdogo ya kuwa na mtoto wa nje
Kweli nilifanikiwa kuwa na rafiki wa kike , urafiki ulikuwa mzuri sana tu na nilimshukuru Mungu kwa ajili yake
Miaka ilisogea , na mahusiano yakazidi kujengeka na matarajio ya kuwa pamoja baada ya shule kuongezeka nk
Ghafla mahusiano yakaanza kuingia changamoto ambazo hazikuwa ndogo, changamoto ambazo zilipelekea hata kuhatarisha uwezo wangu wa kusoma na kufocus na shule
Changamoto hizo ziliniweka njia panda nikafika mahali nikachagau pamoja na kwamba nilipenda nilitakiaa kufanya maamuzi ya kuchagua mahusiano au shule
Haikuwa rahisi kufanya maamuzi ingawa hapo mwanzo niliona ni rahisi lakini haikuwa rahisi
Namshukuru Mungu sio kila mahusiano ambayo unaweza kuyapitia yanaeweza kulata matokeo chanya
Kuna neno ambalo nilijifunza moyoni kwamba inawezekana yale mahusiano yalikuwa darasa kwangu ili siku moja nisije kuwa mgeni hata kusema i love u.
Namshukuru Mungu kila mmoja aliendelea na maisha yake na Mungu kwa kweli alikuwa mwaminifu kwa kila mmoja.
Nilichojifunza sio kila mahusiano lazima yatafika kwenye ndoa mengine yatakufundisha kusema i love you kwa mwenzako utakaye kutana naye baada ya hapo
Cha msingi futa machozi , Muombe Mungu akupo uponyaji wa nafsi ili siku utakapo kutana naye yule ambaye Mungu amekupangia usiwe na mawazo ya ulikotoka
Kosa kubwa ambalo linawakuta watu ni kutokusamehe wale ambao walikuwa nao katika mahusiano wasijue kwamba kusamehe ni sehemu moja wapo ya kupona katika mahusiano yaliyovunjika
Inawezekana ulimpenda sana na nikawaida hakuna mahusiano pasipo upendo ila upendo unajengwa na ujue kama kitu kinajengwa ujue kinaweza kubomolewa
Wataalamu wa ujenzi wanasema kujenga ni kazi kuliko kubomoa ila kwenye mahusiano kubomoa ni kazi kuliko kujenga kwa sababu unapobomoa unabomoa kwa maumivi.
Nilijifunza kwa tai , tai anapokuwa mzee anakosa nguvu ya kuruka mbali, anafanya maamuzi ya kwanza nikukaa kwenye mwamba na kuondoa mabawa yote na kucha kwa maumivu makali kwa sbababu anajua yale maumivu ni ya kitambo ila uponyaji ni wa milele
Tai akishatoa kucha na mabawa mara baada ya muda anakuwa kama kijana mabawa mapya yanatokea na kucha mpya, anakuwa na kasi na nguvu kama hapo mwanzo
Jifunze kwa tai ni kweli mahusiano yamefika mwisho, jikung'ute fanya kila unaloweza kukubali matokeo na kuanza upya
Nachokumbuka wakati mwingine mahusiano ni njia ya kukufundisha kujua hata kutoka out najua haukuwa kujiuliza mambo ambayo umejifunza kupitia ayoa mahusiano
Mwisho usimwombe vibaya mwenzako hata kama likuwa na sehemu ya kuvunjika kwa mahusino mwachie Mungu, na Mungu akusaidie