Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

Wengine tuliunganisha vikojoleo tukiwa wadogo, ni kujaribu jaribu tu hatukujua sana kinachoendelea, utamu nilipata sana na sitasahau, ila nikafanya tena nikiwa mkubwa kabisa, vingine sisimulii mtanicheka.
Maliza story mkuu 😅😅
 
Nimejisikia vibaya kweli, nimejikuta nakumbuka mahusiano yaliyo pita ingawa nipo katika mahusiano mengi lakini sihisi kama mwanzo. Ni kama bado nina kidonda bado sijui hata kwanini.
Du! Una mkumbuka mtu wako wa Kwanza, au maumivu ya kutolewa bikra ndo bado yapo moyoni 🤔🤔
 
Back
Top Bottom