Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Siunafundisha au aligoma?

Kuna wengine akipika mboga utahisi vipande vya tikiti vilivyomalizika kuliwa. Linyanya anakata kama sikio.. kitunguu anakikata mara nne tu biringanya unakutana nalo limeiva halijaiva daaah
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke ana simu janja tatu, ana magroup ya wasap ya kutosha, yupo kila mtandao facebook, instagram, JF, Twitter, snapchat, badoo etc, anafuga kucha ndefu kama msukule.

Atajulia wapi kupika?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji115][emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaaa!! Safi kabisa, taabu yote ya nini!!!
Hapo sasa

Ukizingatia umeolewa na mmoja

Na hakutaka chef alitaka mke....na anajua mkewe dhaifu jikoni...

Kisa cha kujipanikisha ni nini???
 
Back
Top Bottom