Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Yaani tena wewe mke pasua kichwa mwenzangu nisikumiss jamni!! Nilikumiss kweli. Mumeo Ngoda yuko wapi?
Mmh huyo mume sijui alipo. Sie tumepeana uhuru hakuna kubanana..tutaonana eid ikiisha!
.
.
Ngoda95
 
Hii biashara wala nisingeifanya mimi

Na wanione mvivu...sijui kupika na mengineyo

Zamu zangu zote wangegonga chai mkate, mwenye kiungulia ningemtengemtezea uji

Kwakweli kuliko kuleteana taabu bora wanywe uji tu. Ukiwasaidia sana uwachemshie viazi.
 
Ha haaa umetisha! Kweli jamani familia kubwa kama hiyo mkate na blueband ndo size yao
Emagine ukande na kusukuma chapati za ukoo mzima!! Bora siku hizi mambo yamerahisishwa, kukanda hadi kusukuma ni just simple, ni mwanaume kujitahidi tu aninunulie hivyo vifaa, sio kutoana vigimbi vya mikono.
 
Emagine ukande na kusukuma chapati za ukoo mzima!! Bora siku hizi mambo yamerahisishwa, kukanda hadi kusukuma ni just simple, ni mwanaume kujitahidi tu aninunulie hivyo vifaa, sio kutoana vigimbi vya mikono.
Nampikia mume tu. Wengine am soleee
 
Hahahahah

Wasichoshe aisee

Mie ukweni nafanya niwezavyo.... nikichoka nasepa taratiiiibu kulala

Ukomando kipensi sitaki mimi

Wenyewe washanizoe (au imewabidi kuvumilia)

Kunyonyoa kuku alfajiri nani anataka?????

Kukuna nazi alfajiri ili kuunga mbaazi nani anataka(wangenisamehe tu....na baridi la kule uwiiiiiiiiiiiii)

Nb.... kuku nitanyonyoa saa nne na mbaazi nitaunga saa nne....vitaliwa na lunch badala ya breakfast

Maandazi napika jioni watanywea chai mengine nahifadhi kwa ajili ya asubuhi


Asiyekula viporo am sorree
Tusameheane tu kwakweli, lasivyo waajiri mtu kwaajili ya hizo shughuli.
 
Back
Top Bottom