Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,572
Yaani acha tu kipenzi, niliwamiss mpaka basi. Hebu chemsha mahindi nije kula.Welcome back!, misshed you!![]()
![]()
Yaani acha tu kipenzi, niliwamiss mpaka basi. Hebu chemsha mahindi nije kula.Welcome back!, misshed you!![]()
![]()
Khaaah!! Nikienda ukweni najikaushaa kama sio mimi.
Tatizo sio wapishi, tatizo mchele ni wa plastik, alafu zamani wali ulikuwa unaliwa kwa nadra sana, kwahiyo hata kama unanukia magunia huwezi tambua.

Si ndio maana una kitambi tangu utotoni.Na ndiyo maana wali maharage ndiyo chakula bora kwangu. Na nimeshindwa kukisaliti....
Nakukumbusha sitaki mzigo mimi.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwani wewe mume wangu!!!
Ngoja niwe na moyo wa kupondeka, wapi Nalendwa na Heaven Sent!!!!!
Niliwamiss jamani khaaah!!!
Nitawabembeleza mezani, jikoni huko ni kwao.Tehe!, hutaki kubembeleza wakwe wewe eh!
Eti magunia!?![]()
Tena na hivyo tumefuatana, mie mzigo wako mt kaka, yaani ulipo nipo. Na mume soon namuacha, kashanichosha mimi.Nakukumbusha sitaki mzigo mimi.
kuokoa muda hahaha
Kila Uzi wewe wakwanza duHujamalizia story...
Nakutafuta....Upo kipenzi...ntakuja unipe somo la kupika maana kwenye hii sekta ntaachika saa mbili asubuhi
Wapare walivyowabahili... nitaamini ukiwa mombo![]()
kumbe mpare duuuh apo nisitegemee kitu kabsa
Nisingekupiga madongo hahahaHahaa!, Kabisa Jose, nilitaka kumaliza hivyo hivyo nikaogopa madongo...lol
Hivi ni wewe au?Mwanamke hata uwe na masters kias gani kama hujui kupika umedisqualify
Mwanamke mapishi bwana
Pole ya wifiyo
Ww unasema kwa sababu ww ni mpishi mzuri kiasi kwamba mke akivurunda unaingia jikoni mwenyewe unarekebisha,but kama ungekuwa hujui kupika alafu umeoa mwanamke hajui kupika nakwambie ungeona ni mzigo coz kuna wakati wanaume wanakula vyakula vitamu kwa marafi/ndungu/ au hotelini na wanaporudi nyumbani wanawambia wake zao wapike but kama mkeo hajui ndo balaah! Alafu hapa tunaongelea vyakula vya kawaida amabavyo nikawaida lazma mwanamke ajue kupika sasa ww unasema utamfundiasha mfano mpaka kuunga mchuzi wa samaki mfundishe????? Birian itakuwaje sasa?.....mm kwa maoni yangu lazma mwanamke ajue kupika vyakula haswa vile vya kawaida na vyakila ckuHiyo ya kuacha nimekazia tu, isikupe shida Dada, ila kwangu mimi mwanamke aheshimu mwili wake, mapishi hufundishwa, ama unaweza ajili mbadala hakafanya badala yake.
Ulikuwa na fantasy nyingi eeh haha![]()
![]()
![]()
![]()
kumbe mpare duuuh apo nisitegemee kitu kabsa
Acha bwana.Tena na hivyo tumefuatana, mie mzigo wako mt kaka, yaani ulipo nipo. Na mume soon namuacha, kashanichosha mimi.




![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwani wewe mume wangu!!!
Ngoja niwe na moyo wa kupondeka, wapi Nalendwa na Heaven Sent!!!!!
Niliwamiss jamani khaaah!!!

Yaani acha tu kipenzi, niliwamiss mpaka basi. Hebu chemsha mahindi nije kula.
kuna tatizo kwani?? Embu jaribu kuchangia mada tu tafadhali mkuuKila Uzi wewe wakwanza du
Nitawabembeleza mezani, jikoni huko ni kwao.
Hahahahaaa!! Safi kabisa, taabu yote ya nini!!!
