Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Umenishinda tabia ya kuwahi
Uhuru Wa simu yake
Badol kaweka mwenyewe
Chaji yake
Umeme wake
Hapo ndio uhuru Wa sipamgiwi

Mzazi akasome ili awashawishi wenzake na wao wawe wazazi kipondi Mimi nikiwa rais sitasomesha waliozaa iwe kwa bahati mbaya , iwe kwa utamu wake , iwe kwa ,,,,,,, kumbe hela ni zake eeeeh Mungu
 
Huyo mwanamke msukuma nini? Maana wao wanajua kuchemsha viazi vitamu tu na kupika nguna ngumu kama tofali la kuchoma...
Hizi chuki na Wasukuma zitakuwa na mwanzo wake
 
Huyu bidada aliolewa na mkaka ambae bado anaishi kwao. Familia mzima inaishi pamoja. na kula pamoja ndani kuna mawifi watatu ambao hawajaolewa na wake wa kaka wakubwa wawili.

Baada ya harusi na honey moon bibie amerudi nyumbani kuanza maisha ya ndoa. Amekuta I utaratibu wa nyumba ni kuwa break fast ni saa nne asubuhi na inakuwa maandazi mbaazi za nazi mchuzi wa kuku na chapati pamoja na matunda.

Wale Mabint watatu na mawifi wana zamu za kupika. Basi bibi aliomba awe wa mwisho kwenye rosta. Ukifika zamu yake amefika jikoni jogoo amshachinjwa ni kazi ya kunyonyoa na kupika mchuzi.

Binti kumweka kuku kwenye maji aliiva unga ameshindwa kukanda na kila kitu kiko juu ya meza na jiko zima linejaa unga.
Kuona kaka ameoa mwanamke anaepika kinadharia.
Mawifi wamekuja jikoni
Mpe pole sana mana huyo hajaolewa n mwanaume kaolewa na familia ya mwanaume....aka dume suruali
 
Funzo kwa wale waliopo kwenye nyumba zenye mabinti wa kazi ambao huwaachia kila siku wawapikie, na wao kushinda wamejilaza huku wanachat 24/7
 
Back
Top Bottom