tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,324
Mpe pole sana mana huyo hajaolewa n mwanaume kaolewa na familia ya mwanaume....aka dume suruali

Mpe pole sana mana huyo hajaolewa n mwanaume kaolewa na familia ya mwanaume....aka dume suruali

Huyo anaitwa Tanzania one-TO wa JF.
Wengi wanakesha kupambana nae ili wampoke nafasi yake lakini wameambulia patupu
kumbe wanatamani sana hii nafasi!?Haha, tena nimevichemsha na karanga kwa umakini mkubwa kweli asee, the one and only chef right here..Si useme tu umechemsha viazi hadi ukajikubali.![]()
![]()
![]()

Siunafundisha au aligoma?Niliacha kuoa demu dr alikuwa hajui kupika
Hafundishiki, ni mtu wa kfc,subway kwa sana kipindi ile, sasa hivi wamekuja hawa piza hurt najua atakuwa analala huko.Siunafundisha au aligoma?
Kuna wengine akipika mboga utahisi vipande vya tikiti vilivyomalizika kuliwa. Linyanya anakata kama sikio.. kitunguu anakikata mara nne tu biringanya unakutana nalo limeiva halijaiva daaah
Nyanya kama sikio? hebu heshimu dada zako!Siunafundisha au aligoma?
Kuna wengine akipika mboga utahisi vipande vya tikiti vilivyomalizika kuliwa. Linyanya anakata kama sikio.. kitunguu anakikata mara nne tu biringanya unakutana nalo limeiva halijaiva daaah

Hahaa limekuwa litandamu au sio.... ila sidhani kama kuna mtoto wa uswahilini hajui kupika.Hafundishiki, ni mtu wa kfc,subway kwa sana kipindi ile, sasa hivi wamekuja hawa piza hurt najua atakuwa analala huko.
Namuona insta kapasuka kama Miss Natafuta.
Mimi nitaendelea kuwa na kimodo changu Inna
Mambo Nalendwa.Nyanya kama sikio? hebu heshimu dada zako!![]()
![]()
Shenzi type hahahaaaaHuyo mwanamke msukuma nini? Maana wao wanajua kuchemsha viazi vitamu tu na kupika nguna ngumu kama tofali la kuchoma...