Ila mke haachwi eti tu sababu hajui kupika, bali huachwa kwa sababu ya kugawa papuchi kwa mtu mwingine. Kupika ni fani watu wanasomea, nae akifundishwa atajua, ndiyo maana tunaajili wakutupikia, wakutufulia na kazi zingine. Ila hatuajili wakutusaidia kufanya nae mapenzi, mapenzi hayachangiwi. Mimi nilikaa na waarabu, nirijifunza mapishi yao mengi tu, na baadae nikafanya kazi mgahawani, kama muhudumu, ila pia wakati mwingine nilisaidia kupika. Kwahiyo nina uwezo wa kupika kuliko hata baadhi ya wanawake, mke wangu anapopika chakula kipya kweke nilikua nampa elimu, wakati gani aweke kiungo fulani. Kwangu mimi mke sio mapishi bali papuchi yake, eti niache mke kisa hajui kipika au kufua wakati ni vitu vya kufundisha tu.